Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mwenye namba yake Simba karudi.

HII ni habari njema kwa mashabiki wa Simba, lakini huenda ikawa mbaya kwa wachezaji wanaocheza nafasi moja na kiungo Mganda, Taddeo Lwanga ambaye amerejea kutoka kwenye majeraha ya muda mrefu.

Kiungo huyo mkabaji ameanza kufanya mazoezi mepesi akiwa amesaliwa na asilimia chache kabla ya kujumuika na wenzake kikosini.

Lwanga aliumia goti mwanzoni mwa msimu na ilisemekana angekaa nje ya uwanja kwa msimu mzima, lakini hali imeonekana kuwa tofauti.

Wakati anarudi Simba kwa sasa timu hiyo kiungo Sadio Kanoute yupo kwenye programu maalumu sambamba na Kibu Denis ambao juzi walikuwa kwenye mazoezi mengine ya peke yao.

Mwanaspoti lilimshuhudia kiungo huyo akiwa sambamba na kocha wa viungo, Daniel De Castro ambaye alikuwa anamsimamia kuhakikisha anarejea kwenye makali yake.

Lwanga hakumuangusha kocha huyo kwani alikuwa anafanya kila zoezi la viungo ambalo alipewa na alionyesha utimamu wa mwili aliokuwa nao tangu mazoezi yanaanza mpaka yanamalizika.

Baadhi ya mashabiki waliokuwa katika Uwanja wa Mo Simba Arena walionekana kufurahishwa na urejeo wake baada ya kumuona akifanya mazoezi bila shida yoyote.

Kurejea kwa Lwanga kunafanya eneo la kiungo mkabaji Simba kuongezewa ushindani na kuwafanya wanaocheza nafasi hiyo yaani Jonas Mkude, Kanoute na Mzamiru Yassin kukaa mguu sawa. Pia kurejea kwake kumrahisishia kazi kocha Pablo Franco namna ya kuwatumia wachezaji hao.

[QUOTE="Amir, post: 728, member: 20"] [HEADING=1]Mwenye namba yake Simba karudi.[/HEADING] [IMG alt="namba pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3704250/landscape_ratio16x9/1160/652/deb2d9c6c1b17b22f074ec7163a11e4a/Ip/namba-pic.jpg[/IMG] HII ni habari njema kwa mashabiki wa Simba, lakini huenda ikawa mbaya kwa wachezaji wanaocheza nafasi moja na kiungo Mganda, Taddeo Lwanga ambaye amerejea kutoka kwenye majeraha ya muda mrefu. Kiungo huyo mkabaji ameanza kufanya mazoezi mepesi akiwa amesaliwa na asilimia chache kabla ya kujumuika na wenzake kikosini. Lwanga aliumia goti mwanzoni mwa msimu na ilisemekana angekaa nje ya uwanja kwa msimu mzima, lakini hali imeonekana kuwa tofauti. Wakati anarudi Simba kwa sasa timu hiyo kiungo Sadio Kanoute yupo kwenye programu maalumu sambamba na Kibu Denis ambao juzi walikuwa kwenye mazoezi mengine ya peke yao. Mwanaspoti lilimshuhudia kiungo huyo akiwa sambamba na kocha wa viungo, Daniel De Castro ambaye alikuwa anamsimamia kuhakikisha anarejea kwenye makali yake. Lwanga hakumuangusha kocha huyo kwani alikuwa anafanya kila zoezi la viungo ambalo alipewa na alionyesha utimamu wa mwili aliokuwa nao tangu mazoezi yanaanza mpaka yanamalizika. Baadhi ya mashabiki waliokuwa katika Uwanja wa Mo Simba Arena walionekana kufurahishwa na urejeo wake baada ya kumuona akifanya mazoezi bila shida yoyote. Kurejea kwa Lwanga kunafanya eneo la kiungo mkabaji Simba kuongezewa ushindani na kuwafanya wanaocheza nafasi hiyo yaani Jonas Mkude, Kanoute na Mzamiru Yassin kukaa mguu sawa. Pia kurejea kwake kumrahisishia kazi kocha Pablo Franco namna ya kuwatumia wachezaji hao. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom