Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Banda Aandaliwa Kuwamaliza Waivory Coast.

SIMBA imeweka wazi kuwa mara baada ya kiungo mshambuliaji wao, Peter Banda kurejea nchini akitokea Cameroon alipokuwa na kibarua cha kuiwakilisha Malawi kwenye mashindano ya Afcon, moja kwa moja atajiunga na programu za maandalizi ya michezo ijayo hususani mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast.

Katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba imepangwa kwenye Kundi D pamoja na timu za RS Berkane ya Morocco, USGN ya Niger na ASEC Mimosas.

Mchezo wa kwanza wa Simba katika hatua ya makundi utakuwa Jumapili ya Februari 13 dhidi ya ASEC Mimosas, mwaka huu wakianzia nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Mkuu wa Maudhui wa Simba, Ally Shatry, alisema: “Ni kweli tunamtarajia kiungo mshambuliaji wetu Banda kujiunga na kikosi baada ya kumaliza majukumu yake ya timu ya taifa

ambapo mpaka kufikia mazoezi ya jana (juzi), Jumatano jioni alikuwa hajaripoti.

“Tunatarajia atajiunga na kikosi mara baada ya mchezo wetu dhidi ya Tanzania Prisons, ambapo atakuwa sehemu ya programu za kujiandaa na michezo yetu miwili inayofuata hususani ule wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas.”

[QUOTE="vuligate, post: 731, member: 123"] [HEADING=1]Banda Aandaliwa Kuwamaliza Waivory Coast.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/242581065_198100482410637_9038489158892754942_n.jpg[/IMG] SIMBA imeweka wazi kuwa mara baada ya kiungo mshambuliaji wao, Peter Banda kurejea nchini akitokea Cameroon alipokuwa na kibarua cha kuiwakilisha Malawi kwenye mashindano ya Afcon, moja kwa moja atajiunga na programu za maandalizi ya michezo ijayo hususani mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba imepangwa kwenye Kundi D pamoja na timu za RS Berkane ya Morocco, USGN ya Niger na ASEC Mimosas. Mchezo wa kwanza wa Simba katika hatua ya makundi utakuwa Jumapili ya Februari 13 dhidi ya ASEC Mimosas, mwaka huu wakianzia nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Akizungumza na Championi Ijumaa, Mkuu wa Maudhui wa Simba, Ally Shatry, alisema: “Ni kweli tunamtarajia kiungo mshambuliaji wetu Banda kujiunga na kikosi baada ya kumaliza majukumu yake ya timu ya taifa ambapo mpaka kufikia mazoezi ya jana (juzi), Jumatano jioni alikuwa hajaripoti. “Tunatarajia atajiunga na kikosi mara baada ya mchezo wetu dhidi ya Tanzania Prisons, ambapo atakuwa sehemu ya programu za kujiandaa na michezo yetu miwili inayofuata hususani ule wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom