Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Gadiel Michael: Sina Wasiwasi na Kukaa Benchi.

LICHA ya kushindwa kupata nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza cha Simba, beki wa kushoto wa timu hiyo, Gadiel Michael, amesema kuwa hana presha kwani itafika wakati wake wa kucheza.

Gadiel amekuwa akishindwa kupata nafasi ya kuanza mara kwa mara ndani ya Simba kutokana na uwepo wa Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ ambaye wanacheza wote katika eneo la beki wa kushoto.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Gadiel alisema kuwa licha ya kushindwa kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza kwenye michezo ya ligi kuu, lakini anaamini kuwa wakati wake wa kucheza upo, hivyo hana presha ya kusugua benchi ndani ya kikosi hicho.

“Sina presha kwa kuwa sipati nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza kwani michezo ipo mingi ya kutosha na naamini kuwa nitapata nafasi ya kucheza huko mbeleni.

“Kila kitu ni mipango ya mwalimu hivyo nikipata nafasi ya kucheza huwa nashukuru lakini nikikosa nafasi ya kuanza basi huwa naamini kuwa itapatikana nafasi nyingine,” alisema beki huyo.

[QUOTE="vuligate, post: 748, member: 123"] [HEADING=1]Gadiel Michael: Sina Wasiwasi na Kukaa Benchi.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/06/gADIEL-MICHAEL.jpeg[/IMG] LICHA ya kushindwa kupata nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza cha Simba, beki wa kushoto wa timu hiyo, Gadiel Michael, amesema kuwa hana presha kwani itafika wakati wake wa kucheza. Gadiel amekuwa akishindwa kupata nafasi ya kuanza mara kwa mara ndani ya Simba kutokana na uwepo wa Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ ambaye wanacheza wote katika eneo la beki wa kushoto. Akizungumza na Championi Ijumaa, Gadiel alisema kuwa licha ya kushindwa kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza kwenye michezo ya ligi kuu, lakini anaamini kuwa wakati wake wa kucheza upo, hivyo hana presha ya kusugua benchi ndani ya kikosi hicho. “Sina presha kwa kuwa sipati nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza kwani michezo ipo mingi ya kutosha na naamini kuwa nitapata nafasi ya kucheza huko mbeleni. “Kila kitu ni mipango ya mwalimu hivyo nikipata nafasi ya kucheza huwa nashukuru lakini nikikosa nafasi ya kuanza basi huwa naamini kuwa itapatikana nafasi nyingine,” alisema beki huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom