Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chama Akabidhiwa Zigo La Lawama.

KIUNGO Mzambia, Clatous Chama baada ya kurejea Simba, kocha mkuu wa kikosi hicho, Pablo Franco, amempa jukumu la kupiga penalti, faulo na kona, vitu ambavyo ndani ya timu hiyo msimu huu ni kama zigo la lawama hasa penalti.

Pablo raia wa Hispania, hivi karibuni alikasirishwa na baadhi ya wachezaji wake kushindwa kutumia vizuri kufunga penalti katika michezo ya Ligi Kuu Bara.

Simba tangu kuanza kwa msimu huu, imepiga penalti tano katika Ligi Bara pekee, kati ya hizo, moja imekuwa bao lililofungwa na Rally Bwalya dhidi ya Polisi Tanzania.

Tangu Pablo ameanza kuinoa Simba Novemba, mwaka jana, ameshuhudia vijana wake wakikosa penalti tatu dhidi ya Ruvu Shooting, Azam na Mbeya City. Penalti hizo zilipigwa na Erasto Nyoni, Bwalya na Chris Mugalu. Kabla ya hapo, John Bocco alikosa dhidi ya Biashara United.

Chama katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports uliopigwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa

Mkapa, Dar dhidi ya Dar City, alifunga bao kwa faulo nje kidogo ya 18.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra kutoka ndani ya Benchi la Ufundi la Simba, kiungo huyo alianza majukumu hayo tangu mchezo wake wa kwanza wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa suluhu. Mtoa taarifa huyo alisema, Chama ametakiwa kupiga faulo, kona na penalti kila anapokuwa uwanjani baada ya Pablo

kuvutiwa na aina ya upigaji wake.

“Pablo amevutiwa na Chama aina ya upigaji wake wa kona, penalti na faulo, hivyo kocha amemchagua kiungo huyo

kuendelea na majukumu hayo kila anapokuwa uwanjani,” alisema mtoa taarifa huyo.

Spoti Xtra lilithibitisha hilo katika michezo mitatu ambayo amecheza kiungo huyo dhidi ya Mtibwa Sugar, Kagera Sugar na Dar City ambapo alionekana kupiga faulo na kona. Katika faulo alizopiga, moja pekee alifanikiwa kufunga, ilikuwa dhidi ya Dar City

[QUOTE="Amir, post: 750, member: 20"] [HEADING=1]Chama Akabidhiwa Zigo La Lawama.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/chama.jpg[/IMG] KIUNGO Mzambia, Clatous Chama baada ya kurejea Simba, kocha mkuu wa kikosi hicho, Pablo Franco, amempa jukumu la kupiga penalti, faulo na kona, vitu ambavyo ndani ya timu hiyo msimu huu ni kama zigo la lawama hasa penalti. Pablo raia wa Hispania, hivi karibuni alikasirishwa na baadhi ya wachezaji wake kushindwa kutumia vizuri kufunga penalti katika michezo ya Ligi Kuu Bara. Simba tangu kuanza kwa msimu huu, imepiga penalti tano katika Ligi Bara pekee, kati ya hizo, moja imekuwa bao lililofungwa na Rally Bwalya dhidi ya Polisi Tanzania. Tangu Pablo ameanza kuinoa Simba Novemba, mwaka jana, ameshuhudia vijana wake wakikosa penalti tatu dhidi ya Ruvu Shooting, Azam na Mbeya City. Penalti hizo zilipigwa na Erasto Nyoni, Bwalya na Chris Mugalu. Kabla ya hapo, John Bocco alikosa dhidi ya Biashara United. Chama katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports uliopigwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar dhidi ya Dar City, alifunga bao kwa faulo nje kidogo ya 18. Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra kutoka ndani ya Benchi la Ufundi la Simba, kiungo huyo alianza majukumu hayo tangu mchezo wake wa kwanza wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa suluhu. Mtoa taarifa huyo alisema, Chama ametakiwa kupiga faulo, kona na penalti kila anapokuwa uwanjani baada ya Pablo kuvutiwa na aina ya upigaji wake. “Pablo amevutiwa na Chama aina ya upigaji wake wa kona, penalti na faulo, hivyo kocha amemchagua kiungo huyo kuendelea na majukumu hayo kila anapokuwa uwanjani,” alisema mtoa taarifa huyo. Spoti Xtra lilithibitisha hilo katika michezo mitatu ambayo amecheza kiungo huyo dhidi ya Mtibwa Sugar, Kagera Sugar na Dar City ambapo alionekana kupiga faulo na kona. Katika faulo alizopiga, moja pekee alifanikiwa kufunga, ilikuwa dhidi ya Dar City [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom