Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo aitaja mbinu ya kuwaacha Yanga mbio za ubingwa Bara.

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa mbinu pekee ya timu hiyo kutwaa ubingwa msimu huu na kuwafunika wapinzani wao Yanga ni kushinda mechi ambazo watacheza.

Simba ni mabingwa watetezi, wanapambana kufikia malengo yao wakiwa wamejichimbia nafasi ya pili na pointi 28 huku wakiwa wamepoteza mechi mbili kati ya 14.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Pablo alisema kuwa hana mashaka na wachezaji wa kikosi cha Simba kwa namna wanavyocheza licha ya kushindwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi walicheza ugenini hivi karibuni.

“Bado malengo yetu ni kutwaa ubingwa kwani inawezekana na hilo lipo kwetu sisi. Jambo pekee ambalo litatupa nafasi ya kutwaa ubingwa ni kushinda mechi zetu ambazo tutacheza na hilo lipo wazi.

“Ninafurahishwa na kazi ambayo inafanywa na wachezaji uwanjani licha ya kushindwa kutumia nafasi ambazo tunazipata, hilo ni jambo ambalo tunapaswa kulifanyia kazi,” alisema Pablo.

Mchezo ujao wa Simba kwenye ligi ni dhidi ya Mbeya Kwanza unatarajiwa kuchezwa leo Jumapili.

[QUOTE="Amir, post: 751, member: 20"] [HEADING=1]Pablo aitaja mbinu ya kuwaacha Yanga mbio za ubingwa Bara.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/11/pablo-1.jpg[/IMG] PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa mbinu pekee ya timu hiyo kutwaa ubingwa msimu huu na kuwafunika wapinzani wao Yanga ni kushinda mechi ambazo watacheza. Simba ni mabingwa watetezi, wanapambana kufikia malengo yao wakiwa wamejichimbia nafasi ya pili na pointi 28 huku wakiwa wamepoteza mechi mbili kati ya 14. Akizungumza na Championi Jumamosi, Pablo alisema kuwa hana mashaka na wachezaji wa kikosi cha Simba kwa namna wanavyocheza licha ya kushindwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi walicheza ugenini hivi karibuni. “Bado malengo yetu ni kutwaa ubingwa kwani inawezekana na hilo lipo kwetu sisi. Jambo pekee ambalo litatupa nafasi ya kutwaa ubingwa ni kushinda mechi zetu ambazo tutacheza na hilo lipo wazi. “Ninafurahishwa na kazi ambayo inafanywa na wachezaji uwanjani licha ya kushindwa kutumia nafasi ambazo tunazipata, hilo ni jambo ambalo tunapaswa kulifanyia kazi,” alisema Pablo. Mchezo ujao wa Simba kwenye ligi ni dhidi ya Mbeya Kwanza unatarajiwa kuchezwa leo Jumapili. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom