Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo: Nitawashangaza Msimu Huu.

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, amesema atawashangaza wengi msimu huu kwani wana imani ya kutwaa makombe yote ambayo wanayatetea licha ya kuwa katika mwendo wa kusuasua ndani ya Ligi Kuu Bara.

Simba inatetea taji la ligi na kwenye msimamo ipo nafasi ya pili ikikusanya pointi 28. Pia inatetea taji la Kombe la

Shirikisho la Azam Sports ikiwa tayari imetinga hatua ya 16 bora.

Kutokana na mwendo wao huo, wengi wamekuwa wakiitoa Simba kwenye mbio za ubingwa, huku Yanga inayoongoza msimamo kwa sasa ikiwa na pointi 35 kabla ya mechi ya jana, ikipewa nafasi kubwa zaidi ya kuwa mabingwa.

kizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema: “Tunakwenda kwa mwendo huu ambao haujawa mzuri, ni kweli kwani

mpira sio hisabati, ni namna ambavyo tunafanya uwanjani, hakuna tatizo, malengo yetu ni

kuchukua ubingwa wa ligi na Kombe la Shirikisho.

“Hili niliweka wazi tangu mwanzo, ligi bado inaendelea na Kombe la Shirikisho tumefika hatua nzuri, kikubwa ni kuwa na subira na wachezaji ninaamini watafanya vizuri na kuwashangaza.” Leo Jumapili, Simba inatarajiwa kucheza dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar kuanzia saa 1:00 usiku.

Hii itakuwa ni mara kwanza kwa timu hizi kukutana kwenye ligi kuu ambapo Simba inashika nafasi ya pili kwenye

msimamo huku Mbeya Kwanza inayoshiriki ligi kuu kwa mara ya kwanza, ikiwa ya 12 kabla ya

mechi za jana.

Pablo leo Jumapili, anatarajiwa kumaliza adhabu yake ya kukosa mechi tatu baada ya kufungiwa hivi karibuni ambapo tayari amezikosa mbili dhidi ya Dar City na Prisons.

[QUOTE="vuligate, post: 754, member: 123"] [HEADING=1]Pablo: Nitawashangaza Msimu Huu.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/mugaluchris07_244271520_937896000095714_1815605476186806358_n.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, amesema atawashangaza wengi msimu huu kwani wana imani ya kutwaa makombe yote ambayo wanayatetea licha ya kuwa katika mwendo wa kusuasua ndani ya Ligi Kuu Bara. Simba inatetea taji la ligi na kwenye msimamo ipo nafasi ya pili ikikusanya pointi 28. Pia inatetea taji la Kombe la Shirikisho la Azam Sports ikiwa tayari imetinga hatua ya 16 bora. Kutokana na mwendo wao huo, wengi wamekuwa wakiitoa Simba kwenye mbio za ubingwa, huku Yanga inayoongoza msimamo kwa sasa ikiwa na pointi 35 kabla ya mechi ya jana, ikipewa nafasi kubwa zaidi ya kuwa mabingwa. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/SIMBA-17.jpg[/IMG] kizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema: “Tunakwenda kwa mwendo huu ambao haujawa mzuri, ni kweli kwani mpira sio hisabati, ni namna ambavyo tunafanya uwanjani, hakuna tatizo, malengo yetu ni kuchukua ubingwa wa ligi na Kombe la Shirikisho. “Hili niliweka wazi tangu mwanzo, ligi bado inaendelea na Kombe la Shirikisho tumefika hatua nzuri, kikubwa ni kuwa na subira na wachezaji ninaamini watafanya vizuri na kuwashangaza.” Leo Jumapili, Simba inatarajiwa kucheza dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar kuanzia saa 1:00 usiku. Hii itakuwa ni mara kwanza kwa timu hizi kukutana kwenye ligi kuu ambapo Simba inashika nafasi ya pili kwenye msimamo huku Mbeya Kwanza inayoshiriki ligi kuu kwa mara ya kwanza, ikiwa ya 12 kabla ya mechi za jana. Pablo leo Jumapili, anatarajiwa kumaliza adhabu yake ya kukosa mechi tatu baada ya kufungiwa hivi karibuni ambapo tayari amezikosa mbili dhidi ya Dar City na Prisons. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom