Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Prisons: Penalti ya Simba ni halali.

SHABAN Kazumba, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons, amesema kuwa bao la penalti ambayo walipata Simba juzi ni halali kwa kuwa ilitolewa na mwamuzi kutokana na makosa ambayo walifanya.

Bao hilo lilifungwa na Meddie Kagere na lilionekana kuwa na utata kutokana na wachezaji wa Prisons kumfuata mwamuzi kulalamika juu ya penalti hiyo.

Kazumba aliliambia Championi Jumamosi kuwa: “Simba wamepata penalti, kwangu penati ni sehemu ya makosa, siwezi kusema kwamba tumefungwa kwa bao la penalty, hapana, siwezi kusema kwamba namlaumu mwamuzi.

“Kwangu naona liko sahihi lakini kidogo naona ilikuwa ni kwa wepesi kwetu, lakini tumefungwa, tunakubali matokeo, tumepoteza pointi tatu na timu yangu ilicheza mpira ule unaopendwa na Kocha Mkuu, Patrick Odhiambo ambaye anapenda kuona timu inacheza mpira mzuri.

“Tulikosa nafasi tatu za kufunga mbele ya Simba na tulikuwa tunajua kwamba tunacheza na mabingwa, Simba alistahili na mchezo wa mpira ni mgumu sana.”

Prisons ipo nafasi ya 16 ikiwa na pointi 11 huku Simba ikiwa nafasi ya pili na pointi 28, zote zimecheza mechi 14.

[QUOTE="vuligate, post: 757, member: 123"] [HEADING=1]Kocha Prisons: Penalti ya Simba ni halali.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/simba.jpg[/IMG] SHABAN Kazumba, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons, amesema kuwa bao la penalti ambayo walipata Simba juzi ni halali kwa kuwa ilitolewa na mwamuzi kutokana na makosa ambayo walifanya. Bao hilo lilifungwa na Meddie Kagere na lilionekana kuwa na utata kutokana na wachezaji wa Prisons kumfuata mwamuzi kulalamika juu ya penalti hiyo. Kazumba aliliambia Championi Jumamosi kuwa: “Simba wamepata penalti, kwangu penati ni sehemu ya makosa, siwezi kusema kwamba tumefungwa kwa bao la penalty, hapana, siwezi kusema kwamba namlaumu mwamuzi. “Kwangu naona liko sahihi lakini kidogo naona ilikuwa ni kwa wepesi kwetu, lakini tumefungwa, tunakubali matokeo, tumepoteza pointi tatu na timu yangu ilicheza mpira ule unaopendwa na Kocha Mkuu, Patrick Odhiambo ambaye anapenda kuona timu inacheza mpira mzuri. “Tulikosa nafasi tatu za kufunga mbele ya Simba na tulikuwa tunajua kwamba tunacheza na mabingwa, Simba alistahili na mchezo wa mpira ni mgumu sana.” Prisons ipo nafasi ya 16 ikiwa na pointi 11 huku Simba ikiwa nafasi ya pili na pointi 28, zote zimecheza mechi 14. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom