Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mghana wa Azam Ampa Somo Morrison.

KUTOKANA na winga wa Simba, Bernard Morrison kupewa adhabu ya utovu wa nidhamu, Mghana mwenzake wa Azam, Daniel Amoah, amempa somo.

Wawili hao ambao ni marafiki na wametoka kijiji kimoja, wamekuwa wakikutana mara kwa mara na kushauriana. Morrison ameadhibiwa na Simba kwa kosa la kinidhamu la kutoroka kambini na alipoambiwa asirudi mpaka atakapoongea na mtendaji mkuu pia alikaidi. Winga huyu wa Simba ambaye aliwahi kuichezea Yanga, pia alikuwa na matukio ya namna hiyo akiwa Yanga.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Amoah amesema: “Huwa naongea na Morrison mambo mengi sana na tunashauriana, namuombea aweze kupatana na timu yake na kuweza kurejea kambini. “Ni mchezaji mzuri na hata kwa hili la kusimamishwa tumeongea, nina imani watakuwa sawa,” alisema Amoah.

[QUOTE="Amir, post: 775, member: 20"] [HEADING=1]Mghana wa Azam Ampa Somo Morrison.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273129757_1293546667789867_7183809858415196594_n.jpg[/IMG] KUTOKANA na winga wa Simba, Bernard Morrison kupewa adhabu ya utovu wa nidhamu, Mghana mwenzake wa Azam, Daniel Amoah, amempa somo. Wawili hao ambao ni marafiki na wametoka kijiji kimoja, wamekuwa wakikutana mara kwa mara na kushauriana. Morrison ameadhibiwa na Simba kwa kosa la kinidhamu la kutoroka kambini na alipoambiwa asirudi mpaka atakapoongea na mtendaji mkuu pia alikaidi. Winga huyu wa Simba ambaye aliwahi kuichezea Yanga, pia alikuwa na matukio ya namna hiyo akiwa Yanga. Akizungumza na Championi Jumatatu, Amoah amesema: “Huwa naongea na Morrison mambo mengi sana na tunashauriana, namuombea aweze kupatana na timu yake na kuweza kurejea kambini. “Ni mchezaji mzuri na hata kwa hili la kusimamishwa tumeongea, nina imani watakuwa sawa,” alisema Amoah. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom