Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo: Sasa Ubingwa Upo Wazi.

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania, amefunguka kuwa anaamini ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu hauna mwenyewe, licha ya wapinzani wao Yanga kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi tano.

Pablo ametoa kauli hiyo baada ya juzi Jumapili Simba kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza na kufikisha pointi 31 ikiwa ni tofauti ya pointi tano dhidi ya vinara wa ligi hiyo, Yanga wenye pointi 36.

Akizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema kupata matokeo hayo ya ushindi kumerudisha hali ya kuendelea kufanya vizuri katika mechi za ligi licha ya kukiri kuwa bado suala la ubingwa mpaka sasa halina mwenyewe kutokana

na ushindani ulivyo.

“Hatukuwa kwenye kipindi kizuri, lakini tumeanza kurejea taratibu kwa kupunguza pengo la pointi dhidi ya wapinzani wetu, kwetu ni jambo zuri kwa kuwa tumerejea katika malengo yetu japokuwa bado tunatakiwa kupambana zaidi kwa kuhakikisha timu inapata matokeo makubwa.

“Kuhusu suala la ubingwa ndiyo malengo yetu makubwa ingawa bado kwa sasa upo wazi kwa timu zote zinaweza kufanya maajabu kwani timu zina mechi nyingi, lakini kitu ambacho tunaendelea kukiangalia zaidi upande wetu ni kuhakikisha tunaendelea kupata matokeo makubwa ili kufika tunapotaka,” alisema Pablo.

[QUOTE="vuligate, post: 789, member: 123"] [HEADING=1]Pablo: Sasa Ubingwa Upo Wazi.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/SIMBA-3.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania, amefunguka kuwa anaamini ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu hauna mwenyewe, licha ya wapinzani wao Yanga kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi tano. Pablo ametoa kauli hiyo baada ya juzi Jumapili Simba kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza na kufikisha pointi 31 ikiwa ni tofauti ya pointi tano dhidi ya vinara wa ligi hiyo, Yanga wenye pointi 36. Akizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema kupata matokeo hayo ya ushindi kumerudisha hali ya kuendelea kufanya vizuri katika mechi za ligi licha ya kukiri kuwa bado suala la ubingwa mpaka sasa halina mwenyewe kutokana na ushindani ulivyo. “Hatukuwa kwenye kipindi kizuri, lakini tumeanza kurejea taratibu kwa kupunguza pengo la pointi dhidi ya wapinzani wetu, kwetu ni jambo zuri kwa kuwa tumerejea katika malengo yetu japokuwa bado tunatakiwa kupambana zaidi kwa kuhakikisha timu inapata matokeo makubwa. “Kuhusu suala la ubingwa ndiyo malengo yetu makubwa ingawa bado kwa sasa upo wazi kwa timu zote zinaweza kufanya maajabu kwani timu zina mechi nyingi, lakini kitu ambacho tunaendelea kukiangalia zaidi upande wetu ni kuhakikisha tunaendelea kupata matokeo makubwa ili kufika tunapotaka,” alisema Pablo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom