Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Hatuna Mashabiki Lialia – Ahmed.

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally klabu ya Simba kwa sasa haina washabiki lialia kwa sababu simba hawaliilii lakini wana mashabiki wa kufurahia, ‘lialia timu nyingine hizo zenye maisha magumu’.

Akizungumzia GSM kujitoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara, Ahgmed amesema; “Tufike mahali tuvalue thamani ya Ligi yetu, thamani ya timu zetu, unakwenda kuipa timu ya Ligi Kuu milioni 3 kwa mwezi ? Kuna wakati mwingine inakulazimu uonyeshe thamani yako.

“Milioni tatu haitoshi hata maandalizi ya machezo mmoja, achilia mbali mwezi mmoja na kama Prison huyo anayelia hana milioni tatu ni Timu ya Kushuka daraja, hatuwezi kuwa na Timu ambayo haiwezi kuwa hata na milioni tatu tutakuwa tunashindana nini sasa?

“Tumeshafahamu tulikosea wapi, zile moods za mechi tatu tumeshamalizana nazo, tumejipanga tumejua makosa yalikuwa wapi, tumejifunza kutokana na hayo makosa sasa tunaelekea mbele.

“Kwenye mechi hizi za Shirikisho huwezi kucheza kwenye uwanja kama Manungu, unacheza na watu wenye mentality, hizi ni mechi za kikubwa tunacheza kikubwa, mnaenjoy,” Ahmed Ally.

[QUOTE="vuligate, post: 803, member: 123"] [HEADING=1]Simba Hatuna Mashabiki Lialia – Ahmed.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/ahmedd.png[/IMG] Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally klabu ya Simba kwa sasa haina washabiki lialia kwa sababu simba hawaliilii lakini wana mashabiki wa kufurahia, ‘lialia timu nyingine hizo zenye maisha magumu’. Akizungumzia GSM kujitoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara, Ahgmed amesema; [I]“Tufike mahali tuvalue thamani ya Ligi yetu, thamani ya timu zetu, unakwenda kuipa timu ya Ligi Kuu milioni 3 kwa mwezi ? Kuna wakati mwingine inakulazimu uonyeshe thamani yako. “Milioni tatu haitoshi hata maandalizi ya machezo mmoja, achilia mbali mwezi mmoja na kama Prison huyo anayelia hana milioni tatu ni Timu ya Kushuka daraja, hatuwezi kuwa na Timu ambayo haiwezi kuwa hata na milioni tatu tutakuwa tunashindana nini sasa? “Tumeshafahamu tulikosea wapi, zile moods za mechi tatu tumeshamalizana nazo, tumejipanga tumejua makosa yalikuwa wapi, tumejifunza kutokana na hayo makosa sasa tunaelekea mbele. “Kwenye mechi hizi za Shirikisho huwezi kucheza kwenye uwanja kama Manungu, unacheza na watu wenye mentality, hizi ni mechi za kikubwa tunacheza kikubwa, mnaenjoy,”[/I] Ahmed Ally. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom