Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kapombe: Mechi ngumu, tumejipanga.

Wachezaji wa Asec Mimosas ya Ivory Coast wakiwa katika picha ya pamoja katika mazoezi ya timu hiyo wanaojiandaa kucheza na Simba Jumapili Februari 13 katika uwanja wa Mkapa.

BEKI wa Simba, Shomari Kapombe amesema wanatambua ugumu wa mechi ya Jumapili dhidi ya Asec Mimosas, mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF).

Kapombe amesema wanajiandaa vilivyo kuhakikisha wanapata ushindi mnono, utakaowapa nguvu katika mechi ya ugenini.

"Tunajua utakuwa mchezo mgumu, lakini tumejipanga kuhakikisha mashabiki wetu wanaondoka na kicheko kitakachotokana na ushindani tutakaotoa" amesema Kapombe na kuongeza;

"Tunahitaji kusonga mbele zaidi, kwani Simba ndio timu pekee inayoliwakilisha taifa kimataifa."

Simba imefanya mazoezi leo Februari 8 jioni katika uwanja wa Mo Simba Arena, uliopo Bunju jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo sio kikosi kizima kilichomfanya mazoezi leo, kutokana program aliyoiweka kocha wa timu hiyo, Pablo Franco.

Wachezaji ambao wamefanya mazoezi katika uwanja huo ni wale walioingia katika mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Mbeya Kwanza na ambao hawakucheza kabisa.

Mastaa hao ni Beno Kakolanya, Ally Shomari, Pascal Wawa,Erasto Nyoni, Kennedy Juma, Joash Onyango, Mzamiru Yassin, Israel Mwenda, Gadiel Michael, Peter Banda, Clatous Chama na Hassan Dilunga ambaye ameumia na kutolewa nje.

Mastaa ambao hawakuwepo, walipangiwa programu ya gym.

[QUOTE="Amir, post: 813, member: 20"] [HEADING=1]Kapombe: Mechi ngumu, tumejipanga.[/HEADING] [IMG alt="kapombe pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3709612/d62063f70097795e50f6b6dfc1779749/kapombe-pic-data.jpg[/IMG] Wachezaji wa Asec Mimosas ya Ivory Coast wakiwa katika picha ya pamoja katika mazoezi ya timu hiyo wanaojiandaa kucheza na Simba Jumapili Februari 13 katika uwanja wa Mkapa. BEKI wa Simba, Shomari Kapombe amesema wanatambua ugumu wa mechi ya Jumapili dhidi ya Asec Mimosas, mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Kapombe amesema wanajiandaa vilivyo kuhakikisha wanapata ushindi mnono, utakaowapa nguvu katika mechi ya ugenini. "Tunajua utakuwa mchezo mgumu, lakini tumejipanga kuhakikisha mashabiki wetu wanaondoka na kicheko kitakachotokana na ushindani tutakaotoa" amesema Kapombe na kuongeza; "Tunahitaji kusonga mbele zaidi, kwani Simba ndio timu pekee inayoliwakilisha taifa kimataifa." Simba imefanya mazoezi leo Februari 8 jioni katika uwanja wa Mo Simba Arena, uliopo Bunju jijini Dar es Salaam. Hata hivyo sio kikosi kizima kilichomfanya mazoezi leo, kutokana program aliyoiweka kocha wa timu hiyo, Pablo Franco. Wachezaji ambao wamefanya mazoezi katika uwanja huo ni wale walioingia katika mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Mbeya Kwanza na ambao hawakucheza kabisa. Mastaa hao ni Beno Kakolanya, Ally Shomari, Pascal Wawa,Erasto Nyoni, Kennedy Juma, Joash Onyango, Mzamiru Yassin, Israel Mwenda, Gadiel Michael, Peter Banda, Clatous Chama na Hassan Dilunga ambaye ameumia na kutolewa nje. Mastaa ambao hawakuwepo, walipangiwa programu ya gym. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom