Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wawa aitahadharisha Asec Mimosas.

BEKI wa Simba, Pascal Wawa amesema wamejiandaa vizuri katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast.

Simba inakutana na Mimosas katika mchezo wa kwanza hatua ya makundi utakaopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

"Tumejiandaa vizuri kwa sababu tunatambua ubora wa wapinzani wetu, ni mchezo mgumu ila tutahakikisha tunapata ushindi." amesema Wawa na kuongeza;

"Ni muda mrefu nimecheza huko, kipindi hicho na sasa ni tofauti na wachezaji wanabadilika mara kwa mara, hivyo jambo la msingi ni kujiandaa vizuri."

Wawa raia wa Ivory Coast amewahi kucheza Asec Mimosas kwa miaka saba kuanzia mwaka 2013-2010, kabla ya kujiunga rasmi na Simba Mwaka 2017.

Simba imepangwa kundi D katika michuano hiyo ikiwa na timu za Asec Mimosas (Ivory Coast), RS Berkane (Morocco) na Gendarmerie Nationale ya Nigeria.

Wawa amesema jukumu lao kama wachezaji nikuhamasishana kuhakikisha wanashinda mchezo huo na kuwapa kicheko mashabiki wao.

"Tutapambana kwa kadri tunavyoweza,tunatamani kusonga mbele zaidi kwenye michuano hiyo," amesema.

[QUOTE="Amir, post: 814, member: 20"] [HEADING=1]Wawa aitahadharisha Asec Mimosas.[/HEADING] [IMG alt="wawa pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3709596/8446cebb5b8393b8348fb78ec27900e7/wawa-pic-data.jpg[/IMG] BEKI wa Simba, Pascal Wawa amesema wamejiandaa vizuri katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast. Simba inakutana na Mimosas katika mchezo wa kwanza hatua ya makundi utakaopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. "Tumejiandaa vizuri kwa sababu tunatambua ubora wa wapinzani wetu, ni mchezo mgumu ila tutahakikisha tunapata ushindi." amesema Wawa na kuongeza; "Ni muda mrefu nimecheza huko, kipindi hicho na sasa ni tofauti na wachezaji wanabadilika mara kwa mara, hivyo jambo la msingi ni kujiandaa vizuri." Wawa raia wa Ivory Coast amewahi kucheza Asec Mimosas kwa miaka saba kuanzia mwaka 2013-2010, kabla ya kujiunga rasmi na Simba Mwaka 2017. Simba imepangwa kundi D katika michuano hiyo ikiwa na timu za Asec Mimosas (Ivory Coast), RS Berkane (Morocco) na Gendarmerie Nationale ya Nigeria. Wawa amesema jukumu lao kama wachezaji nikuhamasishana kuhakikisha wanashinda mchezo huo na kuwapa kicheko mashabiki wao. "Tutapambana kwa kadri tunavyoweza,tunatamani kusonga mbele zaidi kwenye michuano hiyo," amesema. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom