Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kwa utamu huu Bocco anabaki juu.

BOCCO apewe ulinzi.” Ndivyo unavyoweza kuitafsiri kauli ya makocha na wachezaji baada ya nahodha wa Simba, John Bocco kushindwa kucheka na nyavu katika mechi 14 ambazo timu yake imecheza kwenye Ligi Kuu Bara.

Kauli hiyo ya kutaka apewe ulinzi ni kutokana na supastaa huyo wa kizazi hiki anayeongoza kwa mabao 142 aliyofunga ndani ya misimu 14, huku anayeshikilia rekodi ya mabao mengi ni Mohamed Hussein ‘Mmachinga’ mwenye mabao 153 ndani ya misimu 13.

Ukame anaoupitia mchezaji huyo msimu huu umeelezwa siyo mara ya kwanza, kwani wamezoea kumuona anaanza kwa udhaifu na anapomaliza humaliza kishujaa.

Ukiachana na rekodi hiyo Bocco ndiye aliyekuwa kinara wa Ligi Kuu akiwa na mabao 16 msimu uliopita jambo linalowafanya wadau hao wakinzane na maneno ya baadhi ya mashabiki wanaoona ameishiwa na kumshauri akasomee ukocha.

Straika wa Kagera Sugar, Hamis Kiiza ni kati ya wanaomtetea Bocco kwa kumlindia heshima yake kwamba ni mchezaji mzawa anayeongoza kwa mabao mengi.

“Kuna nyakati washambuliaji tunapitia ukame. Haumaanishi kwamba tumeishiwa. Inanishangaza wanaosema Bocco akasomee ukocha. Bado ni hatari akianza moto wake hauzimiki,” anasema Kiiza.

“Watanzania wajaribu kulinda heshima yake, siyo tu msaada kwa Simba bali kwa timu ya Taifa Stars.”

Wakati wa mahojiano hayo Mbaraka Yusuf, straika mwingine wa Kagera Sugar anasema ana uzoefu na Bocco na kwamba siyo mara ya kwanza kuanza akichechemea na akamaliza kishujaa.

“Heshima yake itunzwe. Mashabiki wasimshushe kirahisi Bocco bado ana mpira wake mguuni. Naamini atafanya maajabu. Nampa muda atawanyamazisha wengi,” anasema.

Naye kocha wa timu hiyo, Francis Baraza anasema Bocco ni straika hatari, lakini ni upepo mbaya tu anapitia, ila anaamini atafanya mengi na makubwa.

“Kuna wakati wachezaji wanapitia mengi. Naamini (Bocco) atabadilisha upepo kila mtu atamuona ni fundi,” anasema.

Straika wa zamani wa Yanga, Mohammed Hussein ‘Mmachinga’ anasema kitendo cha Bocco kutofunga hadi sasa hakimaanishi kwamba amefulia, lakini anaamini ni nyakati tu za mpito anazopitia na kwamba atarejea kwenye kiwango chake.

“Bocco ni mzawa, lazima nitamuunga mkono. Naamini ipo siku atarudisha ubora wake na kila mmoja atamzungumzia kishujaa,” anasema.

REKODI ZAKE

2008-2009 (bao 1), 2009-2010 (14), 2010-2011 (15), 2011-2012 (19), 2012-2013 (7), 2013-2014 (7) na katika msimu huu ndipo alipotwaa taji lake la kwanza la Ligi Kuu akiwa na Azam.

Mabao yake mengine ni ya msimu wa 2014-2015 (3), 2015-2016 (12), 2016-2017 (10) uliokuwa wa mwisho kuwa na Azam kabla ya kuhamia Simba 2017-2018 (mabao 14), 2018-2019 (15), 2019/20 (9) na 2020/21 (16).

Aliondoka Azam FC akiwa ameacha alama ya mabao 88 na akiwa Simba amekwishafunga mabao 54 akiwa amecheza misimu minne na msimu huu ni wa tano.

Ndani ya Azam FC msimu ambao alifunga mabao mengi zaidi 19 ukiwa ni ule wa 2011/12 na kwa Simba ni mabao 16 msimu wa 2020/21 na ambao alifunga bao moja ni 2008/9.

[QUOTE="vuligate, post: 820, member: 123"] [HEADING=1]Kwa utamu huu Bocco anabaki juu.[/HEADING] [IMG alt="bocco pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3454344/landscape_ratio16x9/1160/652/ae4e30c05d62fd2748f4bbf371b398b4/pk/bocco-pic.jpg[/IMG] BOCCO apewe ulinzi.” Ndivyo unavyoweza kuitafsiri kauli ya makocha na wachezaji baada ya nahodha wa Simba, John Bocco kushindwa kucheka na nyavu katika mechi 14 ambazo timu yake imecheza kwenye Ligi Kuu Bara. Kauli hiyo ya kutaka apewe ulinzi ni kutokana na supastaa huyo wa kizazi hiki anayeongoza kwa mabao 142 aliyofunga ndani ya misimu 14, huku anayeshikilia rekodi ya mabao mengi ni Mohamed Hussein ‘Mmachinga’ mwenye mabao 153 ndani ya misimu 13. Ukame anaoupitia mchezaji huyo msimu huu umeelezwa siyo mara ya kwanza, kwani wamezoea kumuona anaanza kwa udhaifu na anapomaliza humaliza kishujaa. Ukiachana na rekodi hiyo Bocco ndiye aliyekuwa kinara wa Ligi Kuu akiwa na mabao 16 msimu uliopita jambo linalowafanya wadau hao wakinzane na maneno ya baadhi ya mashabiki wanaoona ameishiwa na kumshauri akasomee ukocha. Straika wa Kagera Sugar, Hamis Kiiza ni kati ya wanaomtetea Bocco kwa kumlindia heshima yake kwamba ni mchezaji mzawa anayeongoza kwa mabao mengi. “Kuna nyakati washambuliaji tunapitia ukame. Haumaanishi kwamba tumeishiwa. Inanishangaza wanaosema Bocco akasomee ukocha. Bado ni hatari akianza moto wake hauzimiki,” anasema Kiiza. “Watanzania wajaribu kulinda heshima yake, siyo tu msaada kwa Simba bali kwa timu ya Taifa Stars.” Wakati wa mahojiano hayo Mbaraka Yusuf, straika mwingine wa Kagera Sugar anasema ana uzoefu na Bocco na kwamba siyo mara ya kwanza kuanza akichechemea na akamaliza kishujaa. “Heshima yake itunzwe. Mashabiki wasimshushe kirahisi Bocco bado ana mpira wake mguuni. Naamini atafanya maajabu. Nampa muda atawanyamazisha wengi,” anasema. Naye kocha wa timu hiyo, Francis Baraza anasema Bocco ni straika hatari, lakini ni upepo mbaya tu anapitia, ila anaamini atafanya mengi na makubwa. “Kuna wakati wachezaji wanapitia mengi. Naamini (Bocco) atabadilisha upepo kila mtu atamuona ni fundi,” anasema. Straika wa zamani wa Yanga, Mohammed Hussein ‘Mmachinga’ anasema kitendo cha Bocco kutofunga hadi sasa hakimaanishi kwamba amefulia, lakini anaamini ni nyakati tu za mpito anazopitia na kwamba atarejea kwenye kiwango chake. “Bocco ni mzawa, lazima nitamuunga mkono. Naamini ipo siku atarudisha ubora wake na kila mmoja atamzungumzia kishujaa,” anasema. REKODI ZAKE 2008-2009 (bao 1), 2009-2010 (14), 2010-2011 (15), 2011-2012 (19), 2012-2013 (7), 2013-2014 (7) na katika msimu huu ndipo alipotwaa taji lake la kwanza la Ligi Kuu akiwa na Azam. Mabao yake mengine ni ya msimu wa 2014-2015 (3), 2015-2016 (12), 2016-2017 (10) uliokuwa wa mwisho kuwa na Azam kabla ya kuhamia Simba 2017-2018 (mabao 14), 2018-2019 (15), 2019/20 (9) na 2020/21 (16). Aliondoka Azam FC akiwa ameacha alama ya mabao 88 na akiwa Simba amekwishafunga mabao 54 akiwa amecheza misimu minne na msimu huu ni wa tano. Ndani ya Azam FC msimu ambao alifunga mabao mengi zaidi 19 ukiwa ni ule wa 2011/12 na kwa Simba ni mabao 16 msimu wa 2020/21 na ambao alifunga bao moja ni 2008/9. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom