Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Matano kumng'oa Morrison Simba.

KIWANGO cha Simba msimu huu sio cha kuridhisha kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na aina ya matokeo wanayopata pamoja na kile wanachoonyesha wachezaji wa kikosi hicho katika kila mechi.

Kuna baadhi ya wachezaji walitegemewa kufanya makubwa mwanzoni mwa msimu huu kama Bernard Morrison aliyeshindwa kufanya hivyo kutokana na kile anachokionyesha Msimbazi.

Kwenye msimu huu, Morrison mechi aliyocheza katika kiwango cha juu ni ile ya mzunguko wa kwanza hatua ya mtoano Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ukiachana na mechi hiyo, Morrison amekuwa mchezaji wa kawaida ndani ya Simba na hata kukosa baadhi ya mechi muhimu na sio kwa bahati mbaya, bali kiwango chake hakiriridhishi benchi la ufundi.

Uongozi wa Simba haujaweka wazi kinachoondelea kati yao, ukiachana na sakata lake la kusimamishwa, lakini Morrison ila kuna mambo ambayo amekuwa akifanya yanayoweza kumuondoa katika kikosi hicho mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake kumalizika.

Makala haya inakuletea mambo yanayoweza kumuondoa Morrison Simba mwisho wa msimu licha ya kusajiliwa kwa mbwembwe nyingi na miamba hiyo ya soka nchini akitokea Yanga misimu miwili iliyopita.

[QUOTE="Amir, post: 823, member: 20"] [HEADING=1]Matano kumng'oa Morrison Simba.[/HEADING] [IMG alt="Morrison PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3640216/landscape_ratio16x9/1160/652/1e37d0f4b842405b15d2789f844f3789/yy/morrison-pic.jpg[/IMG] KIWANGO cha Simba msimu huu sio cha kuridhisha kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na aina ya matokeo wanayopata pamoja na kile wanachoonyesha wachezaji wa kikosi hicho katika kila mechi. Kuna baadhi ya wachezaji walitegemewa kufanya makubwa mwanzoni mwa msimu huu kama Bernard Morrison aliyeshindwa kufanya hivyo kutokana na kile anachokionyesha Msimbazi. Kwenye msimu huu, Morrison mechi aliyocheza katika kiwango cha juu ni ile ya mzunguko wa kwanza hatua ya mtoano Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ukiachana na mechi hiyo, Morrison amekuwa mchezaji wa kawaida ndani ya Simba na hata kukosa baadhi ya mechi muhimu na sio kwa bahati mbaya, bali kiwango chake hakiriridhishi benchi la ufundi. Uongozi wa Simba haujaweka wazi kinachoondelea kati yao, ukiachana na sakata lake la kusimamishwa, lakini Morrison ila kuna mambo ambayo amekuwa akifanya yanayoweza kumuondoa katika kikosi hicho mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake kumalizika. Makala haya inakuletea mambo yanayoweza kumuondoa Morrison Simba mwisho wa msimu licha ya kusajiliwa kwa mbwembwe nyingi na miamba hiyo ya soka nchini akitokea Yanga misimu miwili iliyopita. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom