Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mo Dewji: Kuwekeza Simba ni hasara.

Mdhamini wa Simba, Mohammed Dewji amesema kilicho mpeleka kambini leo ni mapenzi yake kwa Simba na amekutana na viongozi wachezaji kwa ajili ya kuwapa hamasa kuelekeachezo dhidi ya ASEC.

Mo Dewji amesema wakati huu wapo katika kombe la Shirikisho Afrika lazima wajipange kwa sababu ni mashindano ya kweli ila bado wanakazi ngumu kwenye ligi na lazima kuwa na malengo makubwa.

"Ukweli kwanza kuwekeza ndani ya Simba ni hasara bado tunapambana sana kuifikisha Simba katika bajeti kubwa ya kujiendesha yenyewe, katika miaka minne nilikuwa kiongozi ila sasa hivi sina mamlaka yoyote," alisema Mo Dewji na kuongeza;

"Nipo pamoja sana na Mwenyekiti, Salim Abdalla 'Try Again', Bodi ya wakurugenzi pamoja na mashabiki kuendelea kuisaidia timu ili kuwa na bajeti kubwa kushindana na klabu kama Al Ahly,"

Mo Dewji alisema sawa wanahuzunika kwa nini Simba imekuwa kwenye klabu kumi bora Afrika kwa sababu wanashindana katika Ligi ya mabingwa ila bahati mbaya mwaka huu wametolewa.

"Unajua Simba ni klabu kubwa Afrika na tunatakiwa kuwa na muendelezo wa kucheza robo, nusu fainali mara kwa mara ya mashindano ya kimataifa lakini la pili Super Cup sina taarifa nalo ila viongozi wakubwa wa Simba walienda Misri katika mkutano na bado hawajanipa feedback yoyote.

"Naamini kwamba mafanikio ya Simba ni mashabiki na wiki hii tuna mechi ngumu na wakijitokeza watu 3,5000, Mungu atujalie hizo pointi tatu tutapata na nitakuwepo uwanjani, kwani bila ya mashabiki hakuna Simba wala Mo Dewji," alisema Mo Dewji.

Katika hatua nyingine Mo Dewji alisema amewapa motisha wachezaji na la pili waone ya Simba katika miaka minne wamefika hatua ya makundi na robo fainali.

"Kitu ambacho tunataka awamu hii ni kuvuka katika hatua ya robo fainali na kuweka historia kwani wachezaji nao wataingia kwenye historia ya Tanzania na ya Simba kitu ambacho tunataka tusonge mbele zaidi kwani hapo siku na watasema wameitumikia Simba tushinde ubingwa wa Afrika na kombe la Shirikisho Afrika," alisema Mo Dewji.

[QUOTE="Amir, post: 824, member: 20"] [HEADING=1]Mo Dewji: Kuwekeza Simba ni hasara.[/HEADING] [IMG alt="MO PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3710796/landscape_ratio16x9/1160/652/c2c1c97acdedc3a72440de1a6e8141e3/vp/mo-pic.jpg[/IMG] Mdhamini wa Simba, Mohammed Dewji amesema kilicho mpeleka kambini leo ni mapenzi yake kwa Simba na amekutana na viongozi wachezaji kwa ajili ya kuwapa hamasa kuelekeachezo dhidi ya ASEC. Mo Dewji amesema wakati huu wapo katika kombe la Shirikisho Afrika lazima wajipange kwa sababu ni mashindano ya kweli ila bado wanakazi ngumu kwenye ligi na lazima kuwa na malengo makubwa. "Ukweli kwanza kuwekeza ndani ya Simba ni hasara bado tunapambana sana kuifikisha Simba katika bajeti kubwa ya kujiendesha yenyewe, katika miaka minne nilikuwa kiongozi ila sasa hivi sina mamlaka yoyote," alisema Mo Dewji na kuongeza; "Nipo pamoja sana na Mwenyekiti, Salim Abdalla 'Try Again', Bodi ya wakurugenzi pamoja na mashabiki kuendelea kuisaidia timu ili kuwa na bajeti kubwa kushindana na klabu kama Al Ahly," Mo Dewji alisema sawa wanahuzunika kwa nini Simba imekuwa kwenye klabu kumi bora Afrika kwa sababu wanashindana katika Ligi ya mabingwa ila bahati mbaya mwaka huu wametolewa. "Unajua Simba ni klabu kubwa Afrika na tunatakiwa kuwa na muendelezo wa kucheza robo, nusu fainali mara kwa mara ya mashindano ya kimataifa lakini la pili Super Cup sina taarifa nalo ila viongozi wakubwa wa Simba walienda Misri katika mkutano na bado hawajanipa feedback yoyote. "Naamini kwamba mafanikio ya Simba ni mashabiki na wiki hii tuna mechi ngumu na wakijitokeza watu 3,5000, Mungu atujalie hizo pointi tatu tutapata na nitakuwepo uwanjani, kwani bila ya mashabiki hakuna Simba wala Mo Dewji," alisema Mo Dewji. Katika hatua nyingine Mo Dewji alisema amewapa motisha wachezaji na la pili waone ya Simba katika miaka minne wamefika hatua ya makundi na robo fainali. "Kitu ambacho tunataka awamu hii ni kuvuka katika hatua ya robo fainali na kuweka historia kwani wachezaji nao wataingia kwenye historia ya Tanzania na ya Simba kitu ambacho tunataka tusonge mbele zaidi kwani hapo siku na watasema wameitumikia Simba tushinde ubingwa wa Afrika na kombe la Shirikisho Afrika," alisema Mo Dewji. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom