Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Yawaita Yanga Kuwasapoti CAF.

UONGOZI wa Simba umewakaribisha mashabiki wa timu mbalimbali ikiwemo Yanga kuwaunga mkono katika

mchezo wao wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast, unaotarajiwa kufanyika Februari 13, katika Uwanja wa Mkapa, Dar.

Simba inatarajiwa kucheza mchezo huo ambao ni wa kwanza wa Kundi D ambapo timu nyingine ambazo zipo katika kundi hilo ni RS Berkane ya Morocco na Union Sportive Gerndamarie ya nchini Niger.

Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba,AhmedAlly, alisema: “Nawakaribisha mashabiki wa timu zote kuja kutushangilia, sio tu mashabiki wa Simba japo naamini kuwa Simba tuna mashabiki wengi sana ambao wangetosha kuja lakini hata wale wengine pia mnakaribishwa kuja kutushangilia.

“Kwetu michuano ya kimataifa si jambo geni na tumezoea kushiriki, safari hii tunahitaji kuona tunafika mbali katika michuano hii, hivyo tumejipanga kupambana katika mchezo huo kuhakikisha kuwa tunafikia malengo yetu katika michuano hii mikubwa baraniAfrika.”

[QUOTE="Amir, post: 836, member: 20"] [HEADING=1]Simba Yawaita Yanga Kuwasapoti CAF.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273175120_151972573854602_4461920906590845852_n1.jpg[/IMG] UONGOZI wa Simba umewakaribisha mashabiki wa timu mbalimbali ikiwemo Yanga kuwaunga mkono katika mchezo wao wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast, unaotarajiwa kufanyika Februari 13, katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Simba inatarajiwa kucheza mchezo huo ambao ni wa kwanza wa Kundi D ambapo timu nyingine ambazo zipo katika kundi hilo ni RS Berkane ya Morocco na Union Sportive Gerndamarie ya nchini Niger. Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba,AhmedAlly, alisema: “Nawakaribisha mashabiki wa timu zote kuja kutushangilia, sio tu mashabiki wa Simba japo naamini kuwa Simba tuna mashabiki wengi sana ambao wangetosha kuja lakini hata wale wengine pia mnakaribishwa kuja kutushangilia. “Kwetu michuano ya kimataifa si jambo geni na tumezoea kushiriki, safari hii tunahitaji kuona tunafika mbali katika michuano hii, hivyo tumejipanga kupambana katika mchezo huo kuhakikisha kuwa tunafikia malengo yetu katika michuano hii mikubwa baraniAfrika.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom