Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Yamchimba Mkwara Bernard Morisson.

UNAAMBIWA KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morisson, mpaka Feb 8, 2022 hakuwa ameandika barua ya maelezo baada ya kutakiwa kuandika kujibu makosa ya kinidhamu yanayomkabili huku uongozi ukimchimba mkwara kama akiendelea kuchelewa atapelekwa kamati ya nidhamu.

Kiungo huyo ambaye alitimka nchini kwenda kwao Ghana ikiwa ni muda mfupi baada ya kusimamishwa alitua

nchini usiku wa kuamkia jana Jumanne na uongozi wa Simba umemkumbusha kuwa anatakiwa kuandika barua

hiyo la sivyo hatocheza mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Asec Mimosas Jumapili hii.

Morrison ambaye mpaka sasa hayupo kambini baada ya kusimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na kile kilicholezwa kuwa mtovu wa nidhamu, kwa siku za karibuni amekuwa akihusishwa kurudi

kuichezea Yanga.

Hivi karibuni, wakati Simba ikitangaza kumsimamisha nyota huyo raia wa Ghana, taarifa yao ilibainisha kwamba

lazima aandike barua ya maelezo kwenda kwa mtendaji mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez.

Lakini inaelezwa kuwa, kiungo huyo yupo katika hatua za mwisho za kusaini mkataba wa

miaka miwili ya kuichezea Yanga wenye thamani ya Sh 230Mil.

Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja Habari wa timu hiyo, Ahmed Ally Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema: “Kwanza kabisa ijulikane kuwa Morrison ni mchezaji halali wa Simba mwenye mkataba, yeye amerejea nchini leo (jana) usiku akitokea kwao Ghana.

“Mpaka leo (jana) asubuhi, Morrison bado hajatuma barua ya aina yoyote ile ya kujieleza makosa yake kwa uongozi

labda hapo baadaye huenda akatuma barua hiyo.

“Kama hataweza kutuma haraka barua hiyo na kamati kuamua hukumu yake, basi ataukosa mchezo wetu ujao dhidi ya Asec Mimosas,” alisema Ahmed na kuongeza kuwa: “Suala lake limefikia katika hatua hiyo kwa hivi sasa,

lakini kama akiendelea kugoma kuandika barua basi litapelekwa katika kamati ya nidhamu ya timu Simba

kwa ajili ya kumjadili kabla ya maamuzi mengine kuchukuliwa.”

[QUOTE="Amir, post: 839, member: 20"] [HEADING=1]Simba Yamchimba Mkwara Bernard Morisson.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/272780500_1348468638916041_5936348269823492964_n.webp.jpg[/IMG] UNAAMBIWA KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morisson, mpaka Feb 8, 2022 hakuwa ameandika barua ya maelezo baada ya kutakiwa kuandika kujibu makosa ya kinidhamu yanayomkabili huku uongozi ukimchimba mkwara kama akiendelea kuchelewa atapelekwa kamati ya nidhamu. Kiungo huyo ambaye alitimka nchini kwenda kwao Ghana ikiwa ni muda mfupi baada ya kusimamishwa alitua nchini usiku wa kuamkia jana Jumanne na uongozi wa Simba umemkumbusha kuwa anatakiwa kuandika barua hiyo la sivyo hatocheza mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Asec Mimosas Jumapili hii. Morrison ambaye mpaka sasa hayupo kambini baada ya kusimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na kile kilicholezwa kuwa mtovu wa nidhamu, kwa siku za karibuni amekuwa akihusishwa kurudi kuichezea Yanga. Hivi karibuni, wakati Simba ikitangaza kumsimamisha nyota huyo raia wa Ghana, taarifa yao ilibainisha kwamba lazima aandike barua ya maelezo kwenda kwa mtendaji mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez. Lakini inaelezwa kuwa, kiungo huyo yupo katika hatua za mwisho za kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga wenye thamani ya Sh 230Mil. Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja Habari wa timu hiyo, Ahmed Ally Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema: “Kwanza kabisa ijulikane kuwa Morrison ni mchezaji halali wa Simba mwenye mkataba, yeye amerejea nchini leo (jana) usiku akitokea kwao Ghana. “Mpaka leo (jana) asubuhi, Morrison bado hajatuma barua ya aina yoyote ile ya kujieleza makosa yake kwa uongozi labda hapo baadaye huenda akatuma barua hiyo. “Kama hataweza kutuma haraka barua hiyo na kamati kuamua hukumu yake, basi ataukosa mchezo wetu ujao dhidi ya Asec Mimosas,” alisema Ahmed na kuongeza kuwa: “Suala lake limefikia katika hatua hiyo kwa hivi sasa, lakini kama akiendelea kugoma kuandika barua basi litapelekwa katika kamati ya nidhamu ya timu Simba kwa ajili ya kumjadili kabla ya maamuzi mengine kuchukuliwa.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom