Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Yashtukia Janja Ya Asec, Yatangaza Vita.

LICHA yawapinzani waSimba, Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast kuficha kuhusu ujio wao hapa nchini

kwenye mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi hao wamesema

wala hawatishiki kwani kichapo kipo palepale.

Timu hizo zinatarajiwa kuvaana katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ambao

utapigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Simba ipo Kundi D, ikiwa imepangwa pamoja na US Gendarmerie ya Niger na RS Berkane ya nchini Morocco

ambayo anaichezea Tuisila Kisinda.

Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, alisema kuwa maandalizi ya kikosi chao yamekamilika, ambacho jana jioni kiliingia kambini sambamba na kuanza mazoezi ya pamoja kuelekea mchezo huo.

Ally alisema kuwa, hadi hivi sasa bado wapinzani wao hawajawapa taarifa za siku za kutua nchini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo mgumu ambao ni muhimu wapate ushindi nyumbani.

Aliongeza kuwa licha ya wao kutopata taarifa ya siku ya kutua nchini, wanaendelea na maandalizi ya nguvu kuhakikisha wanafanikisha malengo yao ya kushinda michezo yote ya nyumbani.

“Sisi kwa upande wetu Simba, tupo katika maandalizi mazuri ya mchezo wetu huu dhidi ya Asec na kikubwa tunazitaka pointi tatu za kila mchezo tutakaoucheza hapa nyumbani.

“Tunafahamu siyo rahisi lakini tutapambana kufanikisha malengo yetu, uzuri timu imeingia kambini leo (jana) sambamba na kuanza mazoezi kabisa.

“Hivyo tumejipanga vema katika hilo, wapinzani wetu hadi kufikia leo (jana) hawajatupa taarifa za ujio

wao, hatujui sababu ni ipi,” alisema Ally.

[QUOTE="Amir, post: 840, member: 20"] [HEADING=1]Simba Yashtukia Janja Ya Asec, Yatangaza Vita.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/asec-768x512-1.jpg[/IMG] LICHA yawapinzani waSimba, Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast kuficha kuhusu ujio wao hapa nchini kwenye mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi hao wamesema wala hawatishiki kwani kichapo kipo palepale. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ambao utapigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273175120_151972573854602_4461920906590845852_n1.jpg[/IMG] Simba ipo Kundi D, ikiwa imepangwa pamoja na US Gendarmerie ya Niger na RS Berkane ya nchini Morocco ambayo anaichezea Tuisila Kisinda. Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, alisema kuwa maandalizi ya kikosi chao yamekamilika, ambacho jana jioni kiliingia kambini sambamba na kuanza mazoezi ya pamoja kuelekea mchezo huo. Ally alisema kuwa, hadi hivi sasa bado wapinzani wao hawajawapa taarifa za siku za kutua nchini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo mgumu ambao ni muhimu wapate ushindi nyumbani. Aliongeza kuwa licha ya wao kutopata taarifa ya siku ya kutua nchini, wanaendelea na maandalizi ya nguvu kuhakikisha wanafanikisha malengo yao ya kushinda michezo yote ya nyumbani. “Sisi kwa upande wetu Simba, tupo katika maandalizi mazuri ya mchezo wetu huu dhidi ya Asec na kikubwa tunazitaka pointi tatu za kila mchezo tutakaoucheza hapa nyumbani. “Tunafahamu siyo rahisi lakini tutapambana kufanikisha malengo yetu, uzuri timu imeingia kambini leo (jana) sambamba na kuanza mazoezi kabisa. “Hivyo tumejipanga vema katika hilo, wapinzani wetu hadi kufikia leo (jana) hawajatupa taarifa za ujio wao, hatujui sababu ni ipi,” alisema Ally. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom