Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Morrison aomba radhi, Simba wakausha.

STAA wa Simba, Bernard Morrison ametuma ujumbe kwenye kundi la WhatsApp la wachezaji wa timu hiyo na kufowadi vilevile kwa viongozi akiomba radhi kwa kilichotokea.

“Naomba mnisamehe jamani. Nimekosa,” alisema Morrison kwa lugha ya Kiswahili. Siku moja kabla ya kucheza mechi na Mbeya Kwanza, Morrison aliwatumia ujumbe huo wa sauti, uliokuwa ukiomba msamaha kwa kosa alilolifanya usiku wa Jumatatu wiki iliyopita.

Morrison alitoroka kambini usiku wa kuamkia Jumanne wiki iliyopita na benchi la ufundi, wachezaji na viongozi walimshtukia na wakampa adhabu ya kumsimamisha muda usiojulikana.

Katika grupu hilo Morrison alisema; “Naomba radhi kwa wachezaji, kocha, meneja, kapteni na wachezaji wazoefu na kila mmoja aliyepo humu. “Naomba radhi sana kwa yale yote yanayoendelea na yaliyotokea kwani naamini nimefanya jambo la kutowaheshimu kila mmoja wenu, najua nimeikosea klabu na sikulenga kufanya hivyo,” alisema staa huyo ambaye habari zinasema kwamba amefanya mazungumzo ya awali na timu kadhaa ikiwemo Yanga na huenda akatimka Simba muda wowote baada ya sakata hilo.

“Lakini kwa jambo lililotokea haina maana kwangu kujielezea binafsi naomba msamaha kutoka kwenu wote, naomba msamaha kwenu, John Bocco, Aishi Manula, Erasto Nyoni, Pascal Wawa, Joash Onyango, Clatous Chama siwezi kuwataja wote hapa, ila naomba kwenu wote mnisaidie kuomba radhi kwa kocha na Bodi ya Wakurugenzi.

“Nina imani baada ya hapo nakwenda kufanya vitu vilivyokuwa bora natamani amani iwepo pamoja na upendo kwa mara nyingine tena kwenu kwa yale yote yaliyotokea kambini. Naomba mnisamehe jamani. Nimekosa.”

[QUOTE="vuligate, post: 859, member: 123"] [HEADING=1]Morrison aomba radhi, Simba wakausha.[/HEADING] [IMG alt="bm pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3712098/landscape_ratio16x9/1160/652/19c0be232c6ce2eeefd7d50a1d45dd0a/Bf/bm-pic.jpg[/IMG] STAA wa Simba, Bernard Morrison ametuma ujumbe kwenye kundi la WhatsApp la wachezaji wa timu hiyo na kufowadi vilevile kwa viongozi akiomba radhi kwa kilichotokea. “Naomba mnisamehe jamani. Nimekosa,” alisema Morrison kwa lugha ya Kiswahili. Siku moja kabla ya kucheza mechi na Mbeya Kwanza, Morrison aliwatumia ujumbe huo wa sauti, uliokuwa ukiomba msamaha kwa kosa alilolifanya usiku wa Jumatatu wiki iliyopita. Morrison alitoroka kambini usiku wa kuamkia Jumanne wiki iliyopita na benchi la ufundi, wachezaji na viongozi walimshtukia na wakampa adhabu ya kumsimamisha muda usiojulikana. Katika grupu hilo Morrison alisema; “Naomba radhi kwa wachezaji, kocha, meneja, kapteni na wachezaji wazoefu na kila mmoja aliyepo humu. “Naomba radhi sana kwa yale yote yanayoendelea na yaliyotokea kwani naamini nimefanya jambo la kutowaheshimu kila mmoja wenu, najua nimeikosea klabu na sikulenga kufanya hivyo,” alisema staa huyo ambaye habari zinasema kwamba amefanya mazungumzo ya awali na timu kadhaa ikiwemo Yanga na huenda akatimka Simba muda wowote baada ya sakata hilo. “Lakini kwa jambo lililotokea haina maana kwangu kujielezea binafsi naomba msamaha kutoka kwenu wote, naomba msamaha kwenu, John Bocco, Aishi Manula, Erasto Nyoni, Pascal Wawa, Joash Onyango, Clatous Chama siwezi kuwataja wote hapa, ila naomba kwenu wote mnisaidie kuomba radhi kwa kocha na Bodi ya Wakurugenzi. “Nina imani baada ya hapo nakwenda kufanya vitu vilivyokuwa bora natamani amani iwepo pamoja na upendo kwa mara nyingine tena kwenu kwa yale yote yaliyotokea kambini. Naomba mnisamehe jamani. Nimekosa.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom