Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bosi Simba Apiga Mkwara Mzito CAF.

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, ametamba kuwa, malengo waliyojiwekea msimu huu

ni kufika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, hivyo kwa kuanza wataanza kuchukua pointi tatu mbele

ya ASEC Mimosas, kisha RS Berkane.

Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Saalaam, Simba itapambana na ASEC Mimosas, ukiwa ni mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya michuano hiyo inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambapo

timu hizo zipo Kundi D.

Msimu uliopita, Simba iliishia hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku malengo yakiwa ni kufika

nusu fainali ya michuano hiyo mikubwa Afrika kwa ngazi ya klabu.

Akizungumza na Spoti Xtra, Mangungu alisema kikubwa walichopanga msimu huu ni kuvuna pointi tatu katika

kila mchezo watakaocheza nyumbani kwenye Uwanja wa

Mkapa.

Aliongeza kuwa, hakuna kitakachoshindikana kwao kutokana na maandalizi makubwa waliyoyafanya chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco raia wa Hispania.

“Niwaombe mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi Jumapili hii katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi

ya ASEC Mimosas utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.

“Uwepo wa mashabijki uwanjani ndiyo chachu ya ushindi katika mchezo huo ambao muhimu kupata pointi tatu katika uwanja wetu wa nyumbani.

“Simba imekuwa na historia ya kipee katika michuano ya kimataifa tangu miaka ya 1970, kama uongozi

tumeshakamilisha maandalizi yote ya mchezo huo,” alisema Mangungu.

[QUOTE="Amir, post: 862, member: 20"] [HEADING=1]Bosi Simba Apiga Mkwara Mzito CAF.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/2e795122f854fa0d35c62e3d6abab521.jpg[/IMG] MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, ametamba kuwa, malengo waliyojiwekea msimu huu ni kufika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, hivyo kwa kuanza wataanza kuchukua pointi tatu mbele ya ASEC Mimosas, kisha RS Berkane. Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Saalaam, Simba itapambana na ASEC Mimosas, ukiwa ni mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya michuano hiyo inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambapo timu hizo zipo Kundi D. Msimu uliopita, Simba iliishia hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku malengo yakiwa ni kufika nusu fainali ya michuano hiyo mikubwa Afrika kwa ngazi ya klabu. Akizungumza na Spoti Xtra, Mangungu alisema kikubwa walichopanga msimu huu ni kuvuna pointi tatu katika kila mchezo watakaocheza nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa. Aliongeza kuwa, hakuna kitakachoshindikana kwao kutokana na maandalizi makubwa waliyoyafanya chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco raia wa Hispania. “Niwaombe mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi Jumapili hii katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya ASEC Mimosas utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. “Uwepo wa mashabijki uwanjani ndiyo chachu ya ushindi katika mchezo huo ambao muhimu kupata pointi tatu katika uwanja wetu wa nyumbani. “Simba imekuwa na historia ya kipee katika michuano ya kimataifa tangu miaka ya 1970, kama uongozi tumeshakamilisha maandalizi yote ya mchezo huo,” alisema Mangungu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom