Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo: Kila mtu lazima afunge.

LICHA ya kwamba mastraika wa Simba wameendelea kulaumiwa kwa kuinyima ushindi timu hiyo katika mechi mfululizo walizocheza, kocha wa kikosi hicho, Pablo Franco ameshtukia jambo na kulifanya kazi haraka kabla ya kukutana na Asec Mimosas.

Mashabiki wa Simba na wadau wa soka wamepatwa na wasiwasi na safu ya ushambuliaji ya Simba inayoelekea kuikabili miamba hiyo ya Ivory Coast kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaofanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, kocha Pablo anajua majanga ya safu yake ya ushambuliaji na sasa ameamua kuja na mbinu mbadala ya kuwataka wachezaji wote wa kikosi hicho wakiwemo mabeki kufunga mabao huku akisema soka la sasa limebadilika.

Pablo alisema ni mbaya kwa timu kutegemea mtu mmoja au wawili wawafungie mabao kwani madhara yake ni makubwa kwa sababu wakidhibitiwa inaweza kuwapa wakati mgumu, “Tunapaswa kuwa timu ambayo haitabiriki.

“Kitu muhimu ni kuendelea kutengeneza nafasi na kujitahidi kuzitumia, kila mchezaji ana wajibu wa kutufungia bao, mpira siku hizi umebadilika wapo mabeki wenye idadi kubwa ya mabao,

“Najua hali ilivyo lakini hicho sio kisingizio kwetu tunapaswa kuimarika katika utumiaji wa nafasi si kwa washambuliaji pekee bali kwa mtu yeyote atakayepata nafasi,” alisema Pablo

Katika mazoezi yaliyofanyika juzi jioni kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena uliopo Bunju, Pablo aliwaongoza wachezaji wachache kufanya mazoezi, wale ambao hawakucheza kabisa mechi iliyopita ya ligi dhidi ya Mbeya Kwanza na walioingia kutokea benchi wakati wale waliocheza dakika zote 90 walipewa program maalum ya Gym.

[QUOTE="Amir, post: 863, member: 20"] [HEADING=1]Pablo: Kila mtu lazima afunge.[/HEADING] [IMG alt="pablo pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3712970/4a2f893de0805ad066323ee14acf54c9/pablo-pic-data.jpg[/IMG] LICHA ya kwamba mastraika wa Simba wameendelea kulaumiwa kwa kuinyima ushindi timu hiyo katika mechi mfululizo walizocheza, kocha wa kikosi hicho, Pablo Franco ameshtukia jambo na kulifanya kazi haraka kabla ya kukutana na Asec Mimosas. Mashabiki wa Simba na wadau wa soka wamepatwa na wasiwasi na safu ya ushambuliaji ya Simba inayoelekea kuikabili miamba hiyo ya Ivory Coast kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaofanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, kocha Pablo anajua majanga ya safu yake ya ushambuliaji na sasa ameamua kuja na mbinu mbadala ya kuwataka wachezaji wote wa kikosi hicho wakiwemo mabeki kufunga mabao huku akisema soka la sasa limebadilika. Pablo alisema ni mbaya kwa timu kutegemea mtu mmoja au wawili wawafungie mabao kwani madhara yake ni makubwa kwa sababu wakidhibitiwa inaweza kuwapa wakati mgumu, “Tunapaswa kuwa timu ambayo haitabiriki. “Kitu muhimu ni kuendelea kutengeneza nafasi na kujitahidi kuzitumia, kila mchezaji ana wajibu wa kutufungia bao, mpira siku hizi umebadilika wapo mabeki wenye idadi kubwa ya mabao, “Najua hali ilivyo lakini hicho sio kisingizio kwetu tunapaswa kuimarika katika utumiaji wa nafasi si kwa washambuliaji pekee bali kwa mtu yeyote atakayepata nafasi,” alisema Pablo Katika mazoezi yaliyofanyika juzi jioni kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena uliopo Bunju, Pablo aliwaongoza wachezaji wachache kufanya mazoezi, wale ambao hawakucheza kabisa mechi iliyopita ya ligi dhidi ya Mbeya Kwanza na walioingia kutokea benchi wakati wale waliocheza dakika zote 90 walipewa program maalum ya Gym. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom