Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Yaanika Siri za Kuwaua Asec Mimosas.

UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna hofu kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast kesho Jumapili kutokana na maandalizi waliyoyafanya huku ukitoa onyo kali kwa wapinzani wao.

Simba inatarajiwa kuvaana na Asec ambayo aliwahi kuichezea beki mkongwe Pascal Wawa kutoka nchini humo, ambaye yeye anaijua vizuri timu hiyo.

Mchezo huo ambao ni wa kwanza wa hatua ya makundi ya michuano hiyo, unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 10:00 jioni.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Meneja wa Habari na Mahusiano wa Simba, Ahmed Ally, alisema wameshazijua mbinu watakazokuja nazo wapinzani kuelekea mchezo huo mgumu.

Ally alisema baada ya kuifutilia kwa karibu timu hiyo, walichogundua ni kwamba wanacheza soka la kujilinda ‘kupaki basi’ wanapocheza ugenini, hivyo hizo mbinu ndiyo zitakazowaharibia kwani zitawafanya wawapige bao nyingi.

Aliongeza kuwa wanajivunia uzoefu mkubwa walionao wa kucheza soka la Afrika, hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi uwanjani kuisapoti timu yao watakapovaana dhidi ya Asec.

“Tunajivunia uzoefu tulionao hivi sasa wa kucheza soka la Afrika, hivyo hatuna hofu kuelekea pambano hilo na kikubwa niwatahadharishe hao Asec wanapokuja na mbinu za kupaki basi.

“Kama wakijipindua kucheza soka la kupaki basi, watarajie kula bao nyingi za kutosha kabla ya kurudiana nao. Nako huko nyumbani kwao wakijifanya wafunguke kucheza kwa kushambulia ndiyo watakuwa wamejichongea, tutawafunga nyingi zaidi tutakapocheza hapa nyumbani,” alisema Ally.

[QUOTE="vuligate, post: 878, member: 123"] [HEADING=1]Simba Yaanika Siri za Kuwaua Asec Mimosas.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/SIMBA-3.jpg[/IMG] UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna hofu kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Asec Mimosas ya [B]Ivory Coast[/B] kesho [B]Jumapili[/B] kutokana na maandalizi waliyoyafanya huku ukitoa onyo kali kwa wapinzani wao. Simba inatarajiwa kuvaana na Asec ambayo aliwahi kuichezea beki mkongwe Pascal Wawa kutoka nchini humo, ambaye yeye anaijua vizuri timu hiyo. Mchezo huo ambao ni wa kwanza wa hatua ya makundi ya michuano hiyo, unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 10:00 jioni. Akizungumza na Championi Ijumaa, Meneja wa Habari na Mahusiano wa Simba, Ahmed Ally, alisema wameshazijua mbinu watakazokuja nazo wapinzani kuelekea mchezo huo mgumu. Ally alisema baada ya kuifutilia kwa karibu timu hiyo, walichogundua ni kwamba wanacheza soka la kujilinda ‘kupaki basi’ wanapocheza ugenini, hivyo hizo mbinu ndiyo zitakazowaharibia kwani zitawafanya wawapige bao nyingi. Aliongeza kuwa wanajivunia uzoefu mkubwa walionao wa kucheza soka la Afrika, hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi uwanjani kuisapoti timu yao watakapovaana dhidi ya Asec. “Tunajivunia uzoefu tulionao hivi sasa wa kucheza soka la Afrika, hivyo hatuna hofu kuelekea pambano hilo na kikubwa niwatahadharishe hao Asec wanapokuja na mbinu za kupaki basi. “Kama wakijipindua kucheza soka la kupaki basi, watarajie kula bao nyingi za kutosha kabla ya kurudiana nao. Nako huko nyumbani kwao wakijifanya wafunguke kucheza kwa kushambulia ndiyo watakuwa wamejichongea, tutawafunga nyingi zaidi tutakapocheza hapa nyumbani,” alisema Ally. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom