Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba kuwaweka kikao Bwalya, Chama.

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema kuwa watafanya kazi kubwa kwa wapigaji mipira iliyokufa ambayo wanaipata katika mechi ambazo wanacheza.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Matola alisema kuwa tatizo la kushindwa kupata matokeo mazuri lina maumivu makubwa na wamegundua tatizo lilipo ikiwa ni pamoja na kushindwa kutumia mipira ya kona na faulo.

“Kushindwa kupata matokeo mazuri kwa Simba ni maumivu lakini tumegundua kwamba suala la kukosa kutumia mapigo huru, hilo nalo ni kosa, hivyo kwa wapigaji wa kona na faulo wote tutazungumza nao ili kuboresha makosa yetu.

“Ikiwa kwenye mechi tunapata kona zaidi ya 9 na hazileti mabao, hilo ni jambo la kufanyia kazi kwenye uwanja wa mazoezi, bado tupo imara na makosa kila siku tunayafanyia kazi na tutazungumza na wachezaji wetu ili tuweze kupata ushindi pia kupitia mapigo hayo.

“Mfano kwenye mchezo dhidi ya Prisons tulipata kona tatu ziliweza kuwa na hatari kwenye lango la mpinzani lakini hatukufunga, bado kuna mechi zinakuja tunaamini tutafanya vizuri,” alisema Matola.

Wapigaji kona wa Simba ni Rally Bwalya, Clatous Chama, Sadio Kanoute na Bernard Morrison ambaye amesimamishwa kwa muda kutokana na masula ya nidhamu.

[QUOTE="vuligate, post: 895, member: 123"] [HEADING=1]Simba kuwaweka kikao Bwalya, Chama.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/chama.jpg[/IMG] SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema kuwa watafanya kazi kubwa kwa wapigaji mipira iliyokufa ambayo wanaipata katika mechi ambazo wanacheza. Akizungumza na Championi Jumamosi, Matola alisema kuwa tatizo la kushindwa kupata matokeo mazuri lina maumivu makubwa na wamegundua tatizo lilipo ikiwa ni pamoja na kushindwa kutumia mipira ya kona na faulo. “Kushindwa kupata matokeo mazuri kwa Simba ni maumivu lakini tumegundua kwamba suala la kukosa kutumia mapigo huru, hilo nalo ni kosa, hivyo kwa wapigaji wa kona na faulo wote tutazungumza nao ili kuboresha makosa yetu. “Ikiwa kwenye mechi tunapata kona zaidi ya 9 na hazileti mabao, hilo ni jambo la kufanyia kazi kwenye uwanja wa mazoezi, bado tupo imara na makosa kila siku tunayafanyia kazi na tutazungumza na wachezaji wetu ili tuweze kupata ushindi pia kupitia mapigo hayo. “Mfano kwenye mchezo dhidi ya Prisons tulipata kona tatu ziliweza kuwa na hatari kwenye lango la mpinzani lakini hatukufunga, bado kuna mechi zinakuja tunaamini tutafanya vizuri,” alisema Matola. Wapigaji kona wa Simba ni Rally Bwalya, Clatous Chama, Sadio Kanoute na Bernard Morrison ambaye amesimamishwa kwa muda kutokana na masula ya nidhamu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom