Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Morisson Asamehewa Simba.

Kiungo Mshambuliaji wa Wekundu wa Msimbazi Bernard Morrison, ameruhusiwa kurejea kikosini leo baada ya kumaliza kesi yake ya utovu wa nidhamu iliyokuwa inamkabili.

Siku chache zilizopita Morrison alituhumiwa kwa makosa ya utovu wa nidhamu ambapo alisimamishwa kwa muda pamoja na kutakiwa kutoa maelezo kwa Mtendaji Mkuu wa Klabu Barbara Gonzalez.

Morrison aliomba radhi kwa uongozi na benchi la ufundi na mapema leo alifika katika ofisi za Klabu na kuwa na maongezi na Mtendaji Mkuu Barbara.

Taarifa za uhakika zinadai kuwa katika maelezo yake Morrison ameomba radhi na ameahidi kutorudia makosa. Taarifa zinasema Morrison ameshawasili kambini Jioni ya leo na amefanya mazoezi katika Uwanja wa Mo Arena Uliopo Bunju.

[QUOTE="Amir, post: 900, member: 20"] [HEADING=1]Morisson Asamehewa Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/MORISSON.jpg[/IMG] Kiungo Mshambuliaji wa Wekundu wa Msimbazi Bernard Morrison, ameruhusiwa kurejea kikosini leo baada ya kumaliza kesi yake ya utovu wa nidhamu iliyokuwa inamkabili. Siku chache zilizopita Morrison alituhumiwa kwa makosa ya utovu wa nidhamu ambapo alisimamishwa kwa muda pamoja na kutakiwa kutoa maelezo kwa Mtendaji Mkuu wa Klabu Barbara Gonzalez. Morrison aliomba radhi kwa uongozi na benchi la ufundi na mapema leo alifika katika ofisi za Klabu na kuwa na maongezi na Mtendaji Mkuu Barbara. Taarifa za uhakika zinadai kuwa katika maelezo yake Morrison ameomba radhi na ameahidi kutorudia makosa. Taarifa zinasema Morrison ameshawasili kambini Jioni ya leo na amefanya mazoezi katika Uwanja wa Mo Arena Uliopo Bunju. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom