Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo: Bocco Atawashangaza Zaidi.

LICHA ya Nahodha wa Simba, John Bocco kushindwa kufunga kwenye mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini

Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema mshambuliaji huyo atawashangaza kwa kuwa ni mfungaji bora.

Simba ikiwa imecheza mechi 15 za ligi, imetupia mabao 16 na kinara ni Meddie Kagere mwenye mabao matano na pasi moja ya bao, huku Bocco akiwa bado hajatupia bao kwenye ligi msimu huu licha ya msimu uliopita kuwa mfungaji bora na mabao 16.

Akizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema kuwa hana hofu na uwezo wa Bocco, hivyo anaamini

kwamba atawashangaza wengi kadiri siku zinavyokwenda.

“Ninaye hapa mfungaji bora wa viwango ambaye anacheza Simba (Bocco), anapitia katika kipindi cha mpito na ninajua kwamba anapenda kufunga na atafanya hivyo bila mashaka.

“Ikiwa una mfungaji bora, hakuna haja ya kuwa na mashaka kwa kuwa muda upo na kuna masuala mengine ambayo

yanatokea kama uchovu na ushindani kuwa mkubwa, hilo tumeliona na tumelifanyia kazi,” alisema.

Bocco ambaye msimu huu amekuwa akikosolewa sana kutokana na kushindwa kufanya vizuri, juzi Jumapili alionekana shujaa katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas wa Kombe la Shirikisho Afrika ambapo kuingia kwake kulibadili mambo.

[QUOTE="Amir, post: 919, member: 20"] [HEADING=1]Pablo: Bocco Atawashangaza Zaidi.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273890088_5491332650882489_7739261459188953460_n.jpg[/IMG] LICHA ya Nahodha wa Simba, John Bocco kushindwa kufunga kwenye mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema mshambuliaji huyo atawashangaza kwa kuwa ni mfungaji bora. Simba ikiwa imecheza mechi 15 za ligi, imetupia mabao 16 na kinara ni Meddie Kagere mwenye mabao matano na pasi moja ya bao, huku Bocco akiwa bado hajatupia bao kwenye ligi msimu huu licha ya msimu uliopita kuwa mfungaji bora na mabao 16. Akizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema kuwa hana hofu na uwezo wa Bocco, hivyo anaamini kwamba atawashangaza wengi kadiri siku zinavyokwenda. “Ninaye hapa mfungaji bora wa viwango ambaye anacheza Simba (Bocco), anapitia katika kipindi cha mpito na ninajua kwamba anapenda kufunga na atafanya hivyo bila mashaka. “Ikiwa una mfungaji bora, hakuna haja ya kuwa na mashaka kwa kuwa muda upo na kuna masuala mengine ambayo yanatokea kama uchovu na ushindani kuwa mkubwa, hilo tumeliona na tumelifanyia kazi,” alisema. Bocco ambaye msimu huu amekuwa akikosolewa sana kutokana na kushindwa kufanya vizuri, juzi Jumapili alionekana shujaa katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas wa Kombe la Shirikisho Afrika ambapo kuingia kwake kulibadili mambo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom