Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha ASEC aukubali mziki wa Simba SC.

KOCHA Mkuu wa Asec Mimosas, Julien Chevalier raia wa Ufaransa, ameukubali muziki wa Simba na kuweka wazi kuwa ameamini wapinzani wao hao kuwafunga wakiwa uwanja wao wa nyumbani, ufanye kazi kubwa sana.

Chevalier alisema mbali ya ubora wa kikosi cha Simba, wamekuwa na nguvu kubwa ya mashabiki ambao amekiri walikuwa na mchango mkubwa kwenye ushindi waliopata.

Juzi Jumapili, Simba ikiwa Uwanja wa Mkapa, Dar, iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas ukiwa ni mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika Kundi D.

Chevalier alisema: “Kusema ukweli Simba walikuwa wanastahili kushinda dhidi yetu kutokana na ubora mkubwa wa kikosi chao na nguvu yao wakiwa wanacheza nyumbani.

“Tulijitahidi kutumia mbinu na mipango yetu, lakini hatukufanikiwa, mashabiki wao walikuwa msaada mkubwa kwao wakiongezewa hamasa.

“Wachezaji wangu wengi vijana, kelele ziliwaathiri kwa sababu wamekaa miaka miwili bila uwepo wa mashabiki viwanjani kutokana na corona.”

[QUOTE="mhariri, post: 951, member: 122"] [HEADING=1]Kocha ASEC aukubali mziki wa Simba SC.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/simba-13.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Asec Mimosas, Julien Chevalier raia wa Ufaransa, ameukubali muziki wa Simba na kuweka wazi kuwa ameamini wapinzani wao hao kuwafunga wakiwa uwanja wao wa nyumbani, ufanye kazi kubwa sana. Chevalier alisema mbali ya ubora wa kikosi cha Simba, wamekuwa na nguvu kubwa ya mashabiki ambao amekiri walikuwa na mchango mkubwa kwenye ushindi waliopata. Juzi Jumapili, Simba ikiwa Uwanja wa Mkapa, Dar, iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas ukiwa ni mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika Kundi D. Chevalier alisema: “Kusema ukweli Simba walikuwa wanastahili kushinda dhidi yetu kutokana na ubora mkubwa wa kikosi chao na nguvu yao wakiwa wanacheza nyumbani. “Tulijitahidi kutumia mbinu na mipango yetu, lakini hatukufanikiwa, mashabiki wao walikuwa msaada mkubwa kwao wakiongezewa hamasa. “Wachezaji wangu wengi vijana, kelele ziliwaathiri kwa sababu wamekaa miaka miwili bila uwepo wa mashabiki viwanjani kutokana na corona.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom