Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba: Msihofu Wametushikia Nafasi Yetu.

LICHA ya Yanga kuongoza Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya alama tano, aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan

Dalali, amesema kuwa Yanga imewashikia kwa muda tu nafasi yao.

Yanga kwa sasa wako kileleni mwa ligi kuu wakiwa na pointi 36 baada ya kushuka dimbani mara 14 ambapo

wameshinda mechi 11 na sare tatu.

Simba wao wamecheza mechi 15, wameshinda tisa, sare nne na kupoteza mbili wako nafasi ya pili na alama zao 31.

Dalali aliliambia Championi Jumatano kuwa: “Kuhusu ubingwa wa Ligi Kuu Bara hilo halina ubishi wale wenzetu wametushikia nafasi yetu na muda utakapowadia tunakwenda kuwashusha na safari ya ubingwa itaanzia hapo, kikubwa tuwe wamoja tusitengeneze makundi ambayo yatakuja kutuvuruga na tukatoka kwenye malengo yetu.”

[QUOTE="mhariri, post: 953, member: 122"] [HEADING=1]Simba: Msihofu Wametushikia Nafasi Yetu.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/simba-16.jpg[/IMG] LICHA ya Yanga kuongoza Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya alama tano, aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, amesema kuwa Yanga imewashikia kwa muda tu nafasi yao. Yanga kwa sasa wako kileleni mwa ligi kuu wakiwa na pointi 36 baada ya kushuka dimbani mara 14 ambapo wameshinda mechi 11 na sare tatu. Simba wao wamecheza mechi 15, wameshinda tisa, sare nne na kupoteza mbili wako nafasi ya pili na alama zao 31. Dalali aliliambia Championi Jumatano kuwa: “Kuhusu ubingwa wa Ligi Kuu Bara hilo halina ubishi wale wenzetu wametushikia nafasi yetu na muda utakapowadia tunakwenda kuwashusha na safari ya ubingwa itaanzia hapo, kikubwa tuwe wamoja tusitengeneze makundi ambayo yatakuja kutuvuruga na tukatoka kwenye malengo yetu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom