Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Wampa Masharti Mawili Morrison.

UONGOZI wa Simba licha ya kumsamehe winga wao, Bernard Morrison, lakini wamepatia masharti ambayo anatakiwa kuyafuata baada ya kupewa msamaha huo ndani ya kikosi chao.

Morrison alisimamishwa ndani ya timu hiyo kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu alivyoonyesha huku uongozi wa Simba ukimtaka mchezaji huyo kuandika barua ya maelezo kwenda kwa CEO wa timu hiyo, Barbara Gonzalez jambo ambalo Morrison alilitekeleza

Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmedy Ally alisema kuwa

tayari uongozi wa timu hiyo umepokea barua ya maelezo ambapo mchezaji huyo aliomba msamaha kwa maandishi na maneno baada ya kukutana na uongozi wa Simba ambao baada ya kumsamehe umempa masharti ya kuwa mfano mzuri wa kuigwa ndani ya timu hiyo na kutorudia vitendo vya utovu wa nidhamu.

“Jumatatu mchana Bernard Morrison aliwasilisha barua ya msamaha kwa uongozi wa Simba ambapo alikutana na uongozi wa timu wakazungumza na Morrison alipatiwa msamaha na siku hiyohiyo alijiunga na wenzake na kuanza rasmi mazoezi.

“Katika msamaha ambao amepewa winga huyo anatakiwa kuacha kufanya tena vitendo vya utovu wa nidhamu na kuwa mfano wa kuigwa kwa wachezaji wengine ambapo mwenyewe amekiri kuwa atafanya hivyo na kuwa mfano bora wa kuigwa na kucheza kwa kujituma ndani ya timu hiyo,” alisema kiongozi huyo.

[QUOTE="mhariri, post: 954, member: 122"] [HEADING=1]Simba Wampa Masharti Mawili Morrison.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/09/bm3gh_235895398_355056516250960_4071643913854102453_n.jpg[/IMG] UONGOZI wa Simba licha ya kumsamehe winga wao, Bernard Morrison, lakini wamepatia masharti ambayo anatakiwa kuyafuata baada ya kupewa msamaha huo ndani ya kikosi chao. Morrison alisimamishwa ndani ya timu hiyo kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu alivyoonyesha huku uongozi wa Simba ukimtaka mchezaji huyo kuandika barua ya maelezo kwenda kwa CEO wa timu hiyo, Barbara Gonzalez jambo ambalo Morrison alilitekeleza Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmedy Ally alisema kuwa tayari uongozi wa timu hiyo umepokea barua ya maelezo ambapo mchezaji huyo aliomba msamaha kwa maandishi na maneno baada ya kukutana na uongozi wa Simba ambao baada ya kumsamehe umempa masharti ya kuwa mfano mzuri wa kuigwa ndani ya timu hiyo na kutorudia vitendo vya utovu wa nidhamu. “Jumatatu mchana Bernard Morrison aliwasilisha barua ya msamaha kwa uongozi wa Simba ambapo alikutana na uongozi wa timu wakazungumza na Morrison alipatiwa msamaha na siku hiyohiyo alijiunga na wenzake na kuanza rasmi mazoezi. “Katika msamaha ambao amepewa winga huyo anatakiwa kuacha kufanya tena vitendo vya utovu wa nidhamu na kuwa mfano wa kuigwa kwa wachezaji wengine ambapo mwenyewe amekiri kuwa atafanya hivyo na kuwa mfano bora wa kuigwa na kucheza kwa kujituma ndani ya timu hiyo,” alisema kiongozi huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom