Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mwameja: Bocco hajachuja ila...

LICHA ya baadhi ya mashabiki wa soka kumtazama kwa jicho la kushuka kiwango nahodha na straika wa Simba, John Bocco, lakini nahodha wa zamani wa timu hiyo, Mohammed Mwameja ameshauri nyota huyo kupatiwa huduma ya kisaikolojia ili kuwa sawa.

Hata hivyo, Bocco ambaye amekuwa akishtumiwa kwa kutofunga mabao katika siku za karibuni, kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Asec Mimosas alisaidia upatikanaji wa mabao mawili kati ya matatu iliyopata Simba katika ushindi wa mabao 3-1.

Wakati Bocco akianza kurejea taratibu katika anga zake, Mwameja amekwenda mbali zaidi na kusisitiza kuwa ni miongoni mwa washambuliaji watatu bora kwake na hajachuja kama ambavyo baadhi ya mashabiki wamekuwa wakifikiria.

“Namuona Bocco kama mshambuliaji namba moja Tanzania bila ubishi kwa washambuliaji wetu wazawa. Kwenye tatu bora hakosekani hiki anachopitia sasa ni upepo na huwa inamtokea mchezaji yeyote,” alisema katika mahojiano maalumu na Mwanaspoti.

Alisema kinachomkuta Bocco sasa ni

kuwa kwenye mwendelezo tofauti na ni kipindi cha mpito ambacho ili kukiepuka tiba yake ni kupata mtaalamu wa saikolojia.

“Ana kiwango bora. Hajachuja na bado anaweza kuwa tegemeo kwenye kikosi cha Simba kama atapata mtu wa saikolojia kumuweka sawa na maneno ya nje ya uwanja hasa yale ya kukatisha tamaa asikubali yakae kwenye akili.”

Japo hivi karibuni Bocco hakutaka kuzungumzia kipindi hiki anachopitia, Mwameja alisema anapaswa kukichukulia kuwa ni cha mpito, atulie na akianza kufunga atafunga hadi watu watashangaa.

“Soka la Tanzania lina makocha makocha wengi. Wapo wenye fani lakini pia lina makocha wasio na fani, hivyo ukiwasikiliza wote wanakuvuruga,” alisema.

Kuhusu safari ya ubingwa msimu huu, Mwameja alisema mbali na Yanga na Simba pia kuna Azam na Mbeya City zinapaswa kutazamwa kwa jicho la tatu.

“Ubora wa kikosi cha Yanga msimu huu nafasi iliyopo kwenye msimamo ni dhahiri inampa presha Simba kutetea ubingwa, lakini tusiziangalie hizo timu mbili tu kuna Azam na Mbeya City zinakuja vizuri.

“Tangu Azam wamebadili kocha kuna mabadiliko. Hivyo lolote linaweza kutokea aliyetarajiwa kuwa bingwa au mshindi wa pili ikawa tofauti,” alisema.

Yanga ina pointi 36, Simba 31, Azam ni ya tatu na pointi 24 ilhali Mbeya City ina pointi 23. Simba pekee ndio imemaliza mechi za raundi ya kwanza lakini nyingine zimesalia na mechi moja kila moja.

“Hapo ukiteleza tu maana yake umeachwa. Nauona mzunguko wa pili utakuwa ni wa kufa na kupona,” alisema.

[QUOTE="mhariri, post: 955, member: 122"] [HEADING=1]Mwameja: Bocco hajachuja ila...[/HEADING] [IMG alt="Bocco PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3719760/landscape_ratio16x9/1160/652/9cdfbe2bc0765e27ac8606ddafa23410/ys/bocco-pic.jpg[/IMG] LICHA ya baadhi ya mashabiki wa soka kumtazama kwa jicho la kushuka kiwango nahodha na straika wa Simba, John Bocco, lakini nahodha wa zamani wa timu hiyo, Mohammed Mwameja ameshauri nyota huyo kupatiwa huduma ya kisaikolojia ili kuwa sawa. Hata hivyo, Bocco ambaye amekuwa akishtumiwa kwa kutofunga mabao katika siku za karibuni, kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Asec Mimosas alisaidia upatikanaji wa mabao mawili kati ya matatu iliyopata Simba katika ushindi wa mabao 3-1. Wakati Bocco akianza kurejea taratibu katika anga zake, Mwameja amekwenda mbali zaidi na kusisitiza kuwa ni miongoni mwa washambuliaji watatu bora kwake na hajachuja kama ambavyo baadhi ya mashabiki wamekuwa wakifikiria. “Namuona Bocco kama mshambuliaji namba moja Tanzania bila ubishi kwa washambuliaji wetu wazawa. Kwenye tatu bora hakosekani hiki anachopitia sasa ni upepo na huwa inamtokea mchezaji yeyote,” alisema katika mahojiano maalumu na Mwanaspoti. Alisema kinachomkuta Bocco sasa ni kuwa kwenye mwendelezo tofauti na ni kipindi cha mpito ambacho ili kukiepuka tiba yake ni kupata mtaalamu wa saikolojia. “Ana kiwango bora. Hajachuja na bado anaweza kuwa tegemeo kwenye kikosi cha Simba kama atapata mtu wa saikolojia kumuweka sawa na maneno ya nje ya uwanja hasa yale ya kukatisha tamaa asikubali yakae kwenye akili.” Japo hivi karibuni Bocco hakutaka kuzungumzia kipindi hiki anachopitia, Mwameja alisema anapaswa kukichukulia kuwa ni cha mpito, atulie na akianza kufunga atafunga hadi watu watashangaa. “Soka la Tanzania lina makocha makocha wengi. Wapo wenye fani lakini pia lina makocha wasio na fani, hivyo ukiwasikiliza wote wanakuvuruga,” alisema. Kuhusu safari ya ubingwa msimu huu, Mwameja alisema mbali na Yanga na Simba pia kuna Azam na Mbeya City zinapaswa kutazamwa kwa jicho la tatu. “Ubora wa kikosi cha Yanga msimu huu nafasi iliyopo kwenye msimamo ni dhahiri inampa presha Simba kutetea ubingwa, lakini tusiziangalie hizo timu mbili tu kuna Azam na Mbeya City zinakuja vizuri. “Tangu Azam wamebadili kocha kuna mabadiliko. Hivyo lolote linaweza kutokea aliyetarajiwa kuwa bingwa au mshindi wa pili ikawa tofauti,” alisema. Yanga ina pointi 36, Simba 31, Azam ni ya tatu na pointi 24 ilhali Mbeya City ina pointi 23. Simba pekee ndio imemaliza mechi za raundi ya kwanza lakini nyingine zimesalia na mechi moja kila moja. “Hapo ukiteleza tu maana yake umeachwa. Nauona mzunguko wa pili utakuwa ni wa kufa na kupona,” alisema. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom