Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mastaa Watatu Simba Waachwa.

WACHEZAJI watatu tegemeo wa Simba, Chris Mugalu, Kibu Denis na Hassan Dilunga, wapo katika hatihati ya

kuongozana na msafara wa timu hiyo utakaokwenda nchini Niger.

Simba leo inatarajiwa kusafiri kuelekea Niger kuvaana na US Gendarmerie kwa ajili ya mchezo wa pili

wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Jumapili hii.

Katika michuano hiyo, Simba wapo Kundi D na timu za ASEC Mimosas ya Ivory Coast, RS Berkane (Morocco) na US Gendarmarie (Niger).

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, orodha rasmi ya wachezaji watakaobaki na kusafiri na timu hiyo, itajulikana mara baada ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa jana Jumatano usiku.

Mtoa taarifa huyo alisema hadi hivi sasa wachezaji waliondolewa katika mipango ya Kocha Mkuu, Mhispania, Pablo Franco, ni Mugalu ambaye atakuwa nje ya uwanja wiki mbili, Dilunga (nje wiki tatu) na Kibu Denis.

Aliongeza kuwa, kati ya wachezaji hao, Kibu pekee ndiye ameanza mazoezi mepesi baada ya kupona majeraha.

“Rasmi kikosi kitakachosafiri kuelekea Niger kwenda kuvaana na Gendarmarie kitajulikana mara baada ya mchezo dhidi ya Ruvu.

“Mara baada ya mchezo huo kocha ataangalia hali za wachezaji wote ili kujua kama kuna majeruhi yeyote kabla ya kutangaza watakaoondoka.

“Lakini wapo wachezaji watatu ambao wenyewe wana hatihati ya kuwepo katika msafara huo kutokana na majeraha ambao ni Kibu, Mugalu na Dilunga,” alisema mtoa taarifa huyo.

Akizungumzia hilo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, alisema: “Hadi hivi sasa

wachezaji wenye majeraha ni Kibu, Mugalu na Dilunga. “Majeraha hayo yamewasababishia kuukosa mchezo wa Shirikisho dhidi ya Ruvu, lakini wengine wapo vizuri akina Sakho (Pape) na Kanoute (Sadio), orodha ya wachezaji watakaosafiri kwenda Niger itajulikana hivi karibuni.”

[QUOTE="Amir, post: 964, member: 20"] [HEADING=1]Mastaa Watatu Simba Waachwa.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/simba-2-2.jpg[/IMG] WACHEZAJI watatu tegemeo wa Simba, Chris Mugalu, Kibu Denis na Hassan Dilunga, wapo katika hatihati ya kuongozana na msafara wa timu hiyo utakaokwenda nchini Niger. Simba leo inatarajiwa kusafiri kuelekea Niger kuvaana na US Gendarmerie kwa ajili ya mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Jumapili hii. Katika michuano hiyo, Simba wapo Kundi D na timu za ASEC Mimosas ya Ivory Coast, RS Berkane (Morocco) na US Gendarmarie (Niger). Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, orodha rasmi ya wachezaji watakaobaki na kusafiri na timu hiyo, itajulikana mara baada ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa jana Jumatano usiku. Mtoa taarifa huyo alisema hadi hivi sasa wachezaji waliondolewa katika mipango ya Kocha Mkuu, Mhispania, Pablo Franco, ni Mugalu ambaye atakuwa nje ya uwanja wiki mbili, Dilunga (nje wiki tatu) na Kibu Denis. Aliongeza kuwa, kati ya wachezaji hao, Kibu pekee ndiye ameanza mazoezi mepesi baada ya kupona majeraha. “Rasmi kikosi kitakachosafiri kuelekea Niger kwenda kuvaana na Gendarmarie kitajulikana mara baada ya mchezo dhidi ya Ruvu. “Mara baada ya mchezo huo kocha ataangalia hali za wachezaji wote ili kujua kama kuna majeruhi yeyote kabla ya kutangaza watakaoondoka. “Lakini wapo wachezaji watatu ambao wenyewe wana hatihati ya kuwepo katika msafara huo kutokana na majeraha ambao ni Kibu, Mugalu na Dilunga,” alisema mtoa taarifa huyo. Akizungumzia hilo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, alisema: “Hadi hivi sasa wachezaji wenye majeraha ni Kibu, Mugalu na Dilunga. “Majeraha hayo yamewasababishia kuukosa mchezo wa Shirikisho dhidi ya Ruvu, lakini wengine wapo vizuri akina Sakho (Pape) na Kanoute (Sadio), orodha ya wachezaji watakaosafiri kwenda Niger itajulikana hivi karibuni.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom