Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

BEKI WA ZAMANI SIMBA AFARIKI DUNIA

BEKI wa zamani wa Simba, Adam Suleiman ’Tata’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani kwao, Tanga ambako alirudishwa kutoka Morogoro alipokuwa anaishi baada ya hali yake kuwa mbaya.

Adam Suleiman aliyeibukia Muheza Shooting akacheza pia na Reli ya Morogoro ni baba wa beki mwingine wa Simba, Miraj Adam ambaye alifuata nyayo za baba yake kwa kucheza Msimbazi.

Adam Suleiman alicheza Simba mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanawe aliibukia timu ya vijana ya Simba mwaka 2012, kabla ya kupandishwa timu ya wakubwa mwaka 2013, lakini baada ya misimu miwili akaachwa.

Marehemu Adamu Seleman (wanne kushoto) aliyechuchumaa kwenye kikosi cha Simba mwaka1989.

[QUOTE="Amir, post: 966, member: 20"] [HEADING=2]BEKI WA ZAMANI SIMBA AFARIKI DUNIA[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjswQSMR1aDj4BLjkmhCGs_MH4B0xHC6UpYXVlcOdBwFb4Ku9Lhss66b8f05C45e_mBNHx_9Oylpck2HMvMYogHKlJNtCppGr7XaVhQFJK64g2vqYTeJyQH1yfu0bIgS6_0FovPjMUltVJaIhDLWqGNXOZ0pxRjLTkWBExFHbv9uCR6lrFwCAjdXgTf=s292'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjswQSMR1aDj4BLjkmhCGs_MH4B0xHC6UpYXVlcOdBwFb4Ku9Lhss66b8f05C45e_mBNHx_9Oylpck2HMvMYogHKlJNtCppGr7XaVhQFJK64g2vqYTeJyQH1yfu0bIgS6_0FovPjMUltVJaIhDLWqGNXOZ0pxRjLTkWBExFHbv9uCR6lrFwCAjdXgTf=w155-h200[/IMG][/URL] BEKI wa zamani wa Simba, Adam Suleiman ’Tata’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani kwao, Tanga ambako alirudishwa kutoka Morogoro alipokuwa anaishi baada ya hali yake kuwa mbaya. Adam Suleiman aliyeibukia Muheza Shooting akacheza pia na Reli ya Morogoro ni baba wa beki mwingine wa Simba, Miraj Adam ambaye alifuata nyayo za baba yake kwa kucheza Msimbazi. Adam Suleiman alicheza Simba mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanawe aliibukia timu ya vijana ya Simba mwaka 2012, kabla ya kupandishwa timu ya wakubwa mwaka 2013, lakini baada ya misimu miwili akaachwa. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj9adXCenNfBZQ00BCaaRYuM0mNsNP8jZa9nM_KWT0ohfnIYgabUh0NQCNA0wRk8rHLucTuyDSQ6Fasd3SiqWOoK4OHQdrwaoFJmaemPelPNsW1B0iuAvgH1y7Nc_aOk3368g3w74qFbR7czve2EAJj7F_ZWiPls1jag4Ln2oiLl2aNp6tH2bUiFr3i=s458'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj9adXCenNfBZQ00BCaaRYuM0mNsNP8jZa9nM_KWT0ohfnIYgabUh0NQCNA0wRk8rHLucTuyDSQ6Fasd3SiqWOoK4OHQdrwaoFJmaemPelPNsW1B0iuAvgH1y7Nc_aOk3368g3w74qFbR7czve2EAJj7F_ZWiPls1jag4Ln2oiLl2aNp6tH2bUiFr3i=w640-h422[/IMG][/URL] Marehemu Adamu Seleman (wanne kushoto) aliyechuchumaa kwenye kikosi cha Simba mwaka1989. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom