Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pablo Aachiwa Msala wa Morrison Simba.

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Bernard Morrison bado hajasaini

mkataba mpya kikosini hapo, huku wakisema wanasubiri ripoti ya Kocha Mkuu, Pablo Franco mwishoni mwa msimu kuona kama atamuhitaji.

Mkataba wa Morrison ndani ya Simba unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu, huku kukiwa na

taarifa kwamba Yanga inataka kumrudisha kikosini kwao msimu ujao.

Akizungumza na Spoti Xtra, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmedy Ally, alisema: “Morrison bado hajapewa mkataba mpya huku mkataba wake ukiwa ukingoni.

“Lakini hili ni suala la benchi la ufundi chini ya kocha mkuu Pablo ambapo tunasubiri ripoti ya mwisho kutoka kwake kuona kama atamuhitaji basi ataongezewa mkataba wa kuendelea kusalia ndani ya timu.

“Kwa sasa Morrison bado ni mchezaji halali wa Simba na ataendelea kuitumikia timu mpaka hatima yake itakapofahamika mwishoni mwa msimu huu.”

Morrison alijiunga na Simba mwanzoni mwa msimu wa 2020/21 akisaini mkataba wa miaka miwili baada ya kumaliza mkataba wa miezi sita ndani ya Yanga aliyoitumikia kuanzia Januari 2020.

[QUOTE="mhariri, post: 974, member: 122"] [HEADING=1]Pablo Aachiwa Msala wa Morrison Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273129757_1293546667789867_7183809858415196594_n.jpg[/IMG] UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Bernard Morrison bado hajasaini mkataba mpya kikosini hapo, huku wakisema wanasubiri ripoti ya Kocha Mkuu, Pablo Franco mwishoni mwa msimu kuona kama atamuhitaji. Mkataba wa Morrison ndani ya Simba unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu, huku kukiwa na taarifa kwamba Yanga inataka kumrudisha kikosini kwao msimu ujao. Akizungumza na Spoti Xtra, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmedy Ally, alisema: “Morrison bado hajapewa mkataba mpya huku mkataba wake ukiwa ukingoni. “Lakini hili ni suala la benchi la ufundi chini ya kocha mkuu Pablo ambapo tunasubiri ripoti ya mwisho kutoka kwake kuona kama atamuhitaji basi ataongezewa mkataba wa kuendelea kusalia ndani ya timu. “Kwa sasa Morrison bado ni mchezaji halali wa Simba na ataendelea kuitumikia timu mpaka hatima yake itakapofahamika mwishoni mwa msimu huu.” Morrison alijiunga na Simba mwanzoni mwa msimu wa 2020/21 akisaini mkataba wa miaka miwili baada ya kumaliza mkataba wa miezi sita ndani ya Yanga aliyoitumikia kuanzia Januari 2020. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom