Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kapombe kumbe alijilipua kwa ASEC

BEKI wa Simba, Shomary Kapombe amekiri penalti aliyopiga katika mchezo uliopita dhidi ya Asec Mimosas ni kama alijilipua tu kwa kujiamini kwa kuvaa ujasiri baada ya kubaini wenzake walikuwa na mchecheto kwenda kuipiga.

Kapombe alifunga penalti hiyo wakati Simba ikiishindilia Asec mabao 3-1 katika mechi ya kwanza ya kundi D ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya Yusuph Mhilu kuchezea madhambi na kipa wa Asec, Karim Cisse.

Mara baada ya mwamuzi Souleiman Djama kutoka Djibouti kuamuru adhabu hiyo ilionekana wachezaji wa Simba kama wakikwepa kwenda kupiga kabla ya Kapombe kuubeba mpira na kufunga kiufundi.

Akizungumza na Mwanaspoti jana, Kapombe alisema aliamua kujivisha bomu hilo ambalo limewashinda wenzake kwa muda ndani ya kikosi hicho akiamini amebeba dhamana ya wana Simba wengi.

Alisema hakukurupuka tu kwenda kupiga mkwaju huo, bali ni aina ya majukumu ambayo anayafanya chini ya Kocha Pablo Franco wawapo katika mazoezi yao kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena.

“Kila siku baada ya mazoezi ya kawaida nimekuwa na muda wa kupiga penalti na hilo ndilo lilinipa ujasiri wa kwenda kubeba jukumu hilo ambalo lilikuwa gumu,” alisema beki huyo.

Kapombe alisema tangu kuanza kwa msimu huu 2021/22 timu yao imekuwa na wimbi kubwa la kukosa penalti, hivyo haukuwa uamuzi rahisi kuufanya alioamua kuutekeleza kwa maslahi ya timu.

Mastaa waliokosa penalti Simba ni nahodha John Bocco dhidi ya Biashara United, Erasto Nyoni dhidi ya Ruvu Shooting, Chris Mugalu alikosa katika mchezo na Mbeya City, huku Rally Bwalya akikosa kwenye mechi ya Azam.

Mbali na penalti hizo za ligi, Simba pia ilipoteza penalti kupitia Bernard Morrison dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mechi ya marudiano ya mchujo (play-off) kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe ya Shirikisho Afrika.

Kapombe aliongeza kuwa wakati anakwenda kupiga mkwaju huo alimuomba Mungu amsaidie ili aweze kupata kwa kuwa kichwani kwake kulikuwa na mambo makubwa matatu.

“Wakati nakwenda kupiga nilikuwa namuomba Mungu anisaidie nipate. Pia nilikuwa naifikiria timu, familia yangu pamoja na mashabiki ambao walikuwa wanahitaji furaha kwa wakati ule na nilimshukuru Mungu nilifanikiwa,” alisema.

Katika hatua nyingine Kapombe amewaomba mashabiki wao kuendelea kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti katika michezo ambayo wanacheza kwa a iwe ya ndani na hata nje ya nchi.

Nini maoni yako kuhusiana na mwenendo wa simba kimataifa;

[QUOTE="mhariri, post: 982, member: 122"] [HEADING=1]Kapombe kumbe alijilipua kwa ASEC[/HEADING] [IMG alt="pablo pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3718638/527d8c01454ecbf616fe39344eebb382/pablo-pic-data.jpg[/IMG] BEKI wa Simba, Shomary Kapombe amekiri penalti aliyopiga katika mchezo uliopita dhidi ya Asec Mimosas ni kama alijilipua tu kwa kujiamini kwa kuvaa ujasiri baada ya kubaini wenzake walikuwa na mchecheto kwenda kuipiga. Kapombe alifunga penalti hiyo wakati Simba ikiishindilia Asec mabao 3-1 katika mechi ya kwanza ya kundi D ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya Yusuph Mhilu kuchezea madhambi na kipa wa Asec, Karim Cisse. Mara baada ya mwamuzi Souleiman Djama kutoka Djibouti kuamuru adhabu hiyo ilionekana wachezaji wa Simba kama wakikwepa kwenda kupiga kabla ya Kapombe kuubeba mpira na kufunga kiufundi. Akizungumza na Mwanaspoti jana, Kapombe alisema aliamua kujivisha bomu hilo ambalo limewashinda wenzake kwa muda ndani ya kikosi hicho akiamini amebeba dhamana ya wana Simba wengi. Alisema hakukurupuka tu kwenda kupiga mkwaju huo, bali ni aina ya majukumu ambayo anayafanya chini ya Kocha Pablo Franco wawapo katika mazoezi yao kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena. “Kila siku baada ya mazoezi ya kawaida nimekuwa na muda wa kupiga penalti na hilo ndilo lilinipa ujasiri wa kwenda kubeba jukumu hilo ambalo lilikuwa gumu,” alisema beki huyo. Kapombe alisema tangu kuanza kwa msimu huu 2021/22 timu yao imekuwa na wimbi kubwa la kukosa penalti, hivyo haukuwa uamuzi rahisi kuufanya alioamua kuutekeleza kwa maslahi ya timu. Mastaa waliokosa penalti Simba ni nahodha John Bocco dhidi ya Biashara United, Erasto Nyoni dhidi ya Ruvu Shooting, Chris Mugalu alikosa katika mchezo na Mbeya City, huku Rally Bwalya akikosa kwenye mechi ya Azam. Mbali na penalti hizo za ligi, Simba pia ilipoteza penalti kupitia Bernard Morrison dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mechi ya marudiano ya mchujo (play-off) kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe ya Shirikisho Afrika. Kapombe aliongeza kuwa wakati anakwenda kupiga mkwaju huo alimuomba Mungu amsaidie ili aweze kupata kwa kuwa kichwani kwake kulikuwa na mambo makubwa matatu. “Wakati nakwenda kupiga nilikuwa namuomba Mungu anisaidie nipate. Pia nilikuwa naifikiria timu, familia yangu pamoja na mashabiki ambao walikuwa wanahitaji furaha kwa wakati ule na nilimshukuru Mungu nilifanikiwa,” alisema. Katika hatua nyingine Kapombe amewaomba mashabiki wao kuendelea kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti katika michezo ambayo wanacheza kwa a iwe ya ndani na hata nje ya nchi. [B]Nini maoni yako kuhusiana na mwenendo wa simba kimataifa;[/B] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom