Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mugalu, Dilunga labda Machi.

KLABU ya Simba inayoondoka mchana wa leo itaendelea kuwakosa nyota wake wawili wa kikosi cha kwanza, Chris Mugalu na Hassan Dilunga watakaokuwa nje ya uwanja hadi Machi huku akikosa mechi kadhaa ikiwamo kimataifa.

Simba inaenda Niger kisha kuunganisha Morocco kwenye mechi mbili za Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Kundi D siku chache tangu itoe dozi nene kwa Asec Mimosas ya Ivory Coast katika mechi ya kwanza.

Wawakilishi hao wa nchi waliinyoa Asec mabao 3-1 na usiku wa jana ilikuwa ikimalizana na Ruvu Shooting katika mechi ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kabla ya leo mchana kusafiri kwenda Niger kuvaana na US Gendermarin.

Lakini ikiwa kwenye maandalizi ya safari hiyo imebainika nyota wake watatu hawatakuwa kwenye msafara akiwamo Kibu Denis, Mugalu na Dilunga walio majeruhi na daktari wa timu hiyo, Edwin Anakret alifafanua kila mmoja na tatizo lake.

Anakret alisema kila mmoja anasumbuliwa na majeraha yake hivyo wataukosa mchezo ujao wa Kimataifa na mingine ya ligi.

Alisema Mugalu aliumia kidole katika mchezo na Mbeya Kwanza ambao Simba ilishinda bao 1-0 na atakuwa nje ya uwanja wiki mbili akiwa chini ya uangalizi wa daktari. Kuhusu Dilunga aliumia mguu wakiwa ma-zoe-zini kujiandaa na Asec Mimosas ambaye atakuwa nje wiki tatu. “Baada ya wiki mbili Mugalu ataanza mazoezi mepesi, lakini Dilunga atasubiri vipimo tena kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani rasmi,” alisema Anakret.

Akizungumzia majeraha yake, Mugalu alisema kila jambo lina sababu zake na anaamini kwa uwezo wa Mungu atapona na kurejea tena katika majukumu yake. “Niliumia kidole cha mkono lakini kwa sasa namshukuru sana Mungu naendelea vizuri,” alisema Mugalu.

[QUOTE="mhariri, post: 983, member: 122"] [HEADING=1]Mugalu, Dilunga labda Machi.[/HEADING] [IMG alt="Mugalu PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3700090/landscape_ratio16x9/1160/652/c00c5bc6df9088b5b1317facb343e75c/bB/mugalu-pic.jpg[/IMG] KLABU ya Simba inayoondoka mchana wa leo itaendelea kuwakosa nyota wake wawili wa kikosi cha kwanza, Chris Mugalu na Hassan Dilunga watakaokuwa nje ya uwanja hadi Machi huku akikosa mechi kadhaa ikiwamo kimataifa. Simba inaenda Niger kisha kuunganisha Morocco kwenye mechi mbili za Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Kundi D siku chache tangu itoe dozi nene kwa Asec Mimosas ya Ivory Coast katika mechi ya kwanza. Wawakilishi hao wa nchi waliinyoa Asec mabao 3-1 na usiku wa jana ilikuwa ikimalizana na Ruvu Shooting katika mechi ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kabla ya leo mchana kusafiri kwenda Niger kuvaana na US Gendermarin. Lakini ikiwa kwenye maandalizi ya safari hiyo imebainika nyota wake watatu hawatakuwa kwenye msafara akiwamo Kibu Denis, Mugalu na Dilunga walio majeruhi na daktari wa timu hiyo, Edwin Anakret alifafanua kila mmoja na tatizo lake. Anakret alisema kila mmoja anasumbuliwa na majeraha yake hivyo wataukosa mchezo ujao wa Kimataifa na mingine ya ligi. Alisema Mugalu aliumia kidole katika mchezo na Mbeya Kwanza ambao Simba ilishinda bao 1-0 na atakuwa nje ya uwanja wiki mbili akiwa chini ya uangalizi wa daktari. Kuhusu Dilunga aliumia mguu wakiwa ma-zoe-zini kujiandaa na Asec Mimosas ambaye atakuwa nje wiki tatu. “Baada ya wiki mbili Mugalu ataanza mazoezi mepesi, lakini Dilunga atasubiri vipimo tena kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani rasmi,” alisema Anakret. Akizungumzia majeraha yake, Mugalu alisema kila jambo lina sababu zake na anaamini kwa uwezo wa Mungu atapona na kurejea tena katika majukumu yake. “Niliumia kidole cha mkono lakini kwa sasa namshukuru sana Mungu naendelea vizuri,” alisema Mugalu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom