Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Yafanya Umafia Niger.

UNAAMBIWA Simba tayari imetanguliza jeshi la siri nchini Niger kwa lengo la kuweka mambo sawa kabla ya timu kwenda kupambana na US Gendamarie ya nchini humo, wikiendi hii.

Jumapili hii, Simba inatarajiwa kupambana na US Gendarmerie ukiwa ni mchezo wa Kundi D la Kombea la Shirikisho Afrika utakaochezwa Uwanja wa Général Seyni Kountché uliopo Niamey, Niger.

Huu utakuwa ni mchezo wa pili kwa timu zote ambapo awali Simba ilishinda 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas, wakati US Gendamarie ikifungwa 5-3 na RS Berkane.

Chanzo chetu kutoka Simba, kimeliambia Spoti Xtra kwamba, pamoja na kuwa na michezo ya ndani tayari uongozi umetanguliza mashushu wake kwenda Niger ili kuhakikisha wanasoma mazingira ya nchi

hiyo.

“Tunashukuru sana uongozi kwa kupata uzoefu mkubwa katika mashindano haya ya kimataifa, maana pamoja na kuhitajika kusafiri kwa pamoja, tayari kuna jeshi la siri linatarajiwa kuingia Niger kesho (leo Alhamisi) ili kuhakikisha wanasoma ramani zote za mazingira ya nchi hiyo.

“Uongozi umefanya hivyo kutokana na kuwepo na wimbi la hujuma kwa wageni kwani katika michuano hii karibia kila timu inahitaji kuvuna pointi tatu nyumbani jambo ambalo hata sisi tunalijua, hivyo kwa kutambua hilo tumejipanga kupata ushindi ugenini au sare ndiyo maana kuna watu wanatangulia kusoma mazigira,” kilisema chanzo hicho.

Spoti Xtra lilimtafuta Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, ambapo alisema: “Ni kweli tupo kwenye mipango ya kuhakikisha watu wanasafiri mapema iwezekanavyo kwenda Niger na kwamba mara baada ya mchezo wetu dhidi ya Ruvu Shooting, mipango yote ya kikosi kuondoka itakuwa tayari na tutawafahamisha siku husika.”

[QUOTE="Amir, post: 987, member: 20"] [HEADING=1]Simba Yafanya Umafia Niger.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273803920_1332463253915113_3741366890323213274_n.jpg[/IMG] UNAAMBIWA Simba tayari imetanguliza jeshi la siri nchini Niger kwa lengo la kuweka mambo sawa kabla ya timu kwenda kupambana na US Gendamarie ya nchini humo, wikiendi hii. Jumapili hii, Simba inatarajiwa kupambana na US Gendarmerie ukiwa ni mchezo wa Kundi D la Kombea la Shirikisho Afrika utakaochezwa Uwanja wa Général Seyni Kountché uliopo Niamey, Niger. Huu utakuwa ni mchezo wa pili kwa timu zote ambapo awali Simba ilishinda 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas, wakati US Gendamarie ikifungwa 5-3 na RS Berkane. Chanzo chetu kutoka Simba, kimeliambia Spoti Xtra kwamba, pamoja na kuwa na michezo ya ndani tayari uongozi umetanguliza mashushu wake kwenda Niger ili kuhakikisha wanasoma mazingira ya nchi hiyo. “Tunashukuru sana uongozi kwa kupata uzoefu mkubwa katika mashindano haya ya kimataifa, maana pamoja na kuhitajika kusafiri kwa pamoja, tayari kuna jeshi la siri linatarajiwa kuingia Niger kesho (leo Alhamisi) ili kuhakikisha wanasoma ramani zote za mazingira ya nchi hiyo. “Uongozi umefanya hivyo kutokana na kuwepo na wimbi la hujuma kwa wageni kwani katika michuano hii karibia kila timu inahitaji kuvuna pointi tatu nyumbani jambo ambalo hata sisi tunalijua, hivyo kwa kutambua hilo tumejipanga kupata ushindi ugenini au sare ndiyo maana kuna watu wanatangulia kusoma mazigira,” kilisema chanzo hicho. Spoti Xtra lilimtafuta Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, ambapo alisema: “Ni kweli tupo kwenye mipango ya kuhakikisha watu wanasafiri mapema iwezekanavyo kwenda Niger na kwamba mara baada ya mchezo wetu dhidi ya Ruvu Shooting, mipango yote ya kikosi kuondoka itakuwa tayari na tutawafahamisha siku husika.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba Sports Club Thread
Top
Bottom