Simba tunafanya haya yote kwasababu ya nini sasa?

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Simba jana kiliwasili jijini Dar es Salaam kimetoa Zanzibar na tumetolewa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi then mchana na naona kinakwenda kambi ya wiki moja mjini Dubai baada ya bilionea Mohammed 'Mo' Dewji boss kuamua kuwapeleka uko inashangaza!!!!!!!!

Ndo nini? Kwanini wasitulie sehemu za nyumbani kufanya mazoezi? Hela zakuzunga huko wangetafuta suluhu ya timu kuacha kudemadema tunasafiri na Kibu hizo hela wangewekeza kupata wachezaji wenye uwezo mkubwa kwenye timu, sanyingine tusishindane na wapinzani tu,

Msimu uliopita tulienda tena njee kufanya mazoezi na tukaishia kubeba kombe la Mapinduzi tu pekeee msimu huu ten?? Wenzetu Yanga walienda hapo Kigamboni tu na wakabeba makombe matatu muhimu tukiwa tunawaona hatujufunzi? Hata tukienda kufanya. Mazoezi Ulaya kama kikosi hakieleweki hatuna wachezaji wenye uwezo mkubwa hakuna kitu tutafanya tuko nyuma pointi 6 Mnategemea Yanga apoteze?

MO anafanya vitu kuonesha watu anazo hela kama ni hela wanajua zipo na sio lazima kuonesha au kutaka watu wajuee tajiri ajioneshii pesa zinajitangaza zenyewe bana tungetuliaa tukomae na mazoezi tuongeze ufundi kwenye timu na viongozi wenye weledi kwenye timu

Simba Nguvu moj!!!
 
  • Like
Reactions: jamal and Zaka

Zaka

Mgeni
Dec 13, 2022
43
27

MO anazingua
 
jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90

Simba Nguvu moja!!!
Waache waenjoy mazingira mapya