Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba tunafanya haya yote kwasababu ya nini sasa?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba jana kiliwasili jijini Dar es Salaam kimetoa Zanzibar na tumetolewa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi then mchana na naona kinakwenda kambi ya wiki moja mjini Dubai baada ya bilionea Mohammed 'Mo' Dewji boss kuamua kuwapeleka uko inashangaza!!!!!!!!

Ndo nini? Kwanini wasitulie sehemu za nyumbani kufanya mazoezi? Hela zakuzunga huko wangetafuta suluhu ya timu kuacha kudemadema tunasafiri na Kibu hizo hela wangewekeza kupata wachezaji wenye uwezo mkubwa kwenye timu, sanyingine tusishindane na wapinzani tu,

Msimu uliopita tulienda tena njee kufanya mazoezi na tukaishia kubeba kombe la Mapinduzi tu pekeee msimu huu ten?? Wenzetu Yanga walienda hapo Kigamboni tu na wakabeba makombe matatu muhimu tukiwa tunawaona hatujufunzi? Hata tukienda kufanya. Mazoezi Ulaya kama kikosi hakieleweki hatuna wachezaji wenye uwezo mkubwa hakuna kitu tutafanya tuko nyuma pointi 6 Mnategemea Yanga apoteze?

MO anafanya vitu kuonesha watu anazo hela kama ni hela wanajua zipo na sio lazima kuonesha au kutaka watu wajuee tajiri ajioneshii pesa zinajitangaza zenyewe bana tungetuliaa tukomae na mazoezi tuongeze ufundi kwenye timu na viongozi wenye weledi kwenye timu

Simba Nguvu moj!!!

[QUOTE="Mgunda Zone, post: 2832, member: 474"] Simba jana kiliwasili jijini Dar es Salaam kimetoa Zanzibar na tumetolewa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi then mchana na naona kinakwenda kambi ya wiki moja mjini Dubai baada ya bilionea Mohammed 'Mo' Dewji boss kuamua kuwapeleka uko inashangaza!!!!!!!! Ndo nini? Kwanini wasitulie sehemu za nyumbani kufanya mazoezi? Hela zakuzunga huko wangetafuta suluhu ya timu kuacha kudemadema tunasafiri na Kibu hizo hela wangewekeza kupata wachezaji wenye uwezo mkubwa kwenye timu, sanyingine tusishindane na wapinzani tu, Msimu uliopita tulienda tena njee kufanya mazoezi na tukaishia kubeba kombe la Mapinduzi tu pekeee msimu huu ten?? Wenzetu Yanga walienda hapo Kigamboni tu na wakabeba makombe matatu muhimu tukiwa tunawaona hatujufunzi? Hata tukienda kufanya. Mazoezi Ulaya kama kikosi hakieleweki hatuna wachezaji wenye uwezo mkubwa hakuna kitu tutafanya tuko nyuma pointi 6 Mnategemea Yanga apoteze? MO anafanya vitu kuonesha watu anazo hela kama ni hela wanajua zipo na sio lazima kuonesha au kutaka watu wajuee tajiri ajioneshii pesa zinajitangaza zenyewe bana tungetuliaa tukomae na mazoezi tuongeze ufundi kwenye timu na viongozi wenye weledi kwenye timu Simba Nguvu moj!!! [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba tunafanya haya yote kwasababu ya nini sasa?
Top
Bottom