Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Simba vs Horoya kapu la magoli lilijaa magoli
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Unaweza kuwa staili mbili tofauti ukiwa na mpira unaanzaje , kutokana na mpinzani wako anafanya nini dhidi yako , Simba SC hawakujibana na staili moja pale walipoamua kuanza nyuma na mpira

Kuna wakati waliamua kuanza nyuma zaidi wakiwa na muundo wa 2-4 ( Inonga na Onyango nyuma ) huku mbele yao katika mstari mmoja Fullbacks wawili na viungo wawili wa kati ( Kapombe Kanoute Mzamiru na Zimbwe Jr ) . Walifanya pale ambapo Horoya waliamua kukabia chini

Lakini pale ambapo Horoya waliamua kukabia juu kwa kutumia washambuliaji wao wawili juu ( 4-4-2 ) Simba waliamua kupiga mipira mirefu na kuwania mipira ya pili inayoanguka hasa kwenye zone ya Horoya na kuanzia mashambulizi yao hapo

Nafikiri kipindi cha kwanza walichokosa Horoya ni ufanisi wa pasi ya mwisho na kulenga lango lakini wakiwa kwenye 4-3-3 yenye namba 8 wawili , walikuwa wanafikiwa pasi za mbele , tena nyuma ya kiungo cha Simba walichokosa ni ubora kama wa Simba , na kipindi cha pili walipoamua kufunguka kuufukuza mchezo wakakutana na dhoruba

Kipindi cha pili Simba SC wamecheza kwa mamlaka zaidi , kwa hesabu zaidi , kwamba haina haja ya kuharakisha vitu , hakuna haja ya kukimbizana sana , miliki mpira , tanua uwanja , na niliona mabadiliko ya nafasi uwanjani , Kibu Denis kuingia ndani sambamba na Baleke huku Chama na Saido wakiwa pembeni kama " Wide playmakers" na wakaamua kuwasubiri Horoya FC kwenye counter attacks maana space zilifunguka sana kwa timu ya Horoya

Uwanjani ni kujua space ipo wapi na muda unaupata wapi : Chama Jr na Saido positions ambazo walikuwa wanasimama kabla ya kupokea mpira ilikuwa inawapa tabu fullbacks na kiungo wa ulinzi wa Horoya ... hawakuwa pembeni sana bali katikati ya kiungo na fullbacks wao ( Half Spaces ) iliwaumiza sana Horoya

[ATTACH=full]1408[/ATTACH]

[QUOTE="jamal, post: 3649, member: 471"] Unaweza kuwa staili mbili tofauti ukiwa na mpira unaanzaje , kutokana na mpinzani wako anafanya nini dhidi yako , Simba SC hawakujibana na staili moja pale walipoamua kuanza nyuma na mpira Kuna wakati waliamua kuanza nyuma zaidi wakiwa na muundo wa 2-4 ( Inonga na Onyango nyuma ) huku mbele yao katika mstari mmoja Fullbacks wawili na viungo wawili wa kati ( Kapombe Kanoute Mzamiru na Zimbwe Jr ) . Walifanya pale ambapo Horoya waliamua kukabia chini Lakini pale ambapo Horoya waliamua kukabia juu kwa kutumia washambuliaji wao wawili juu ( 4-4-2 ) Simba waliamua kupiga mipira mirefu na kuwania mipira ya pili inayoanguka hasa kwenye zone ya Horoya na kuanzia mashambulizi yao hapo Nafikiri kipindi cha kwanza walichokosa Horoya ni ufanisi wa pasi ya mwisho na kulenga lango lakini wakiwa kwenye 4-3-3 yenye namba 8 wawili , walikuwa wanafikiwa pasi za mbele , tena nyuma ya kiungo cha Simba walichokosa ni ubora kama wa Simba , na kipindi cha pili walipoamua kufunguka kuufukuza mchezo wakakutana na dhoruba Kipindi cha pili Simba SC wamecheza kwa mamlaka zaidi , kwa hesabu zaidi , kwamba haina haja ya kuharakisha vitu , hakuna haja ya kukimbizana sana , miliki mpira , tanua uwanja , na niliona mabadiliko ya nafasi uwanjani , Kibu Denis kuingia ndani sambamba na Baleke huku Chama na Saido wakiwa pembeni kama " Wide playmakers" na wakaamua kuwasubiri Horoya FC kwenye counter attacks maana space zilifunguka sana kwa timu ya Horoya Uwanjani ni kujua space ipo wapi na muda unaupata wapi : Chama Jr na Saido positions ambazo walikuwa wanasimama kabla ya kupokea mpira ilikuwa inawapa tabu fullbacks na kiungo wa ulinzi wa Horoya ... hawakuwa pembeni sana bali katikati ya kiungo na fullbacks wao ( Half Spaces ) iliwaumiza sana Horoya [ATTACH type="full"]1408[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Simba vs Horoya kapu la magoli lilijaa magoli
Top
Bottom