Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba vs Mbeya City kocha mpira anaoutaka hauwezi kua Simba
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mimi nilichokiona Jana nje ya Manula kupoteza cleen sheet ya Nne mfululizo Tena kwa uzembe wake yeye mwenyewe.

Bado Simba Jana imeshinda kwa bahati Ila mpira mbovu Sana uliochezwa Jana na unasababishwa na Aina ya mpira ambao Mwalimu anataka

Kocha anataka mpira wa Kasi na Simba inawachezaji wanaopozesha mpira Kama chama na wengine mpira wa Kasi anaoutaka Mwalimu huwezi kuuona pale Simba ndiyo Mana Jana Simba ilikatika kila eneo kulikuwa kweupe.

Tumpe pongezi Saidoo mechi mbili goli tano assist mbili ameweza kwakweli usajiri mzuri Sana utaibeba Simba

Ila Mwalimu akifika Pasaka sijui namuona mpira anaoutaka Mimi sioni Aina ya wachezaji ambao watampa huo mpira huyo Kibu Ni Mzuri mazoezini tu.

[ATTACH=full]1054[/ATTACH]

[QUOTE="Mgunda Zone, post: 2996, member: 474"] Mimi nilichokiona Jana nje ya Manula kupoteza cleen sheet ya Nne mfululizo Tena kwa uzembe wake yeye mwenyewe. Bado Simba Jana imeshinda kwa bahati Ila mpira mbovu Sana uliochezwa Jana na unasababishwa na Aina ya mpira ambao Mwalimu anataka Kocha anataka mpira wa Kasi na Simba inawachezaji wanaopozesha mpira Kama chama na wengine mpira wa Kasi anaoutaka Mwalimu huwezi kuuona pale Simba ndiyo Mana Jana Simba ilikatika kila eneo kulikuwa kweupe. Tumpe pongezi Saidoo mechi mbili goli tano assist mbili ameweza kwakweli usajiri mzuri Sana utaibeba Simba Ila Mwalimu akifika Pasaka sijui namuona mpira anaoutaka Mimi sioni Aina ya wachezaji ambao watampa huo mpira huyo Kibu Ni Mzuri mazoezini tu. [ATTACH type="full"]1054[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba vs Mbeya City kocha mpira anaoutaka hauwezi kua Simba
Top
Bottom