Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba vs Yanga Leo | Takwimu Za Timu Gani Zinatisha Zaidi Kuelekea Muda Wa Mechi?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ππΈπΌπ±π° ππ²  ππΎππ½πΆ π°π΅ππΈπ²π°π½π

Simba Sports Club hawajashindwa kufunga bao katika michezo yao 58 iliyopita katika ligi, mara ya mwisho walishindwa kufanya hivyo kwenye mchezo waliopoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC mnamo 27 October 2022 .

Simba Sports Club wameshinda mechi moja pekee kati ya 10 za mwisho za ligi dhidi ya Young Africans, wamefungwa nne na kutoka sare tano. Mechi pekee waliyoshinda ni ile ya 2-0 mnamo April 2023 katika mzunguko wa 23 wa NBC Premier League .

Simba Sports Club walipiga pasi 600 katika mchezo wao uliopita wa ligi dhidi ya Coastal Union, idadi kubwa zaidi ya timu yoyote kwenye mechi moja ya NBC Premier League msimu huu .

Ahoua Charles ndiye mchezaji wa kwanza kutoa assists nne katika mechi tano za ufunguzi wa kampeni ya NBC Premier League tangu LuΓs Miquissone msimu wa 2020|21 .

_β _β _β _β _β _β _β _β __β _β _β _β _β _β _β _β __β _β _β _β _β _β _β _β __β _β _β _β _β _β _β _β ___β _β _β _β _β _β _β _

Young Africans hawajashindwa kupata ushindi katika mchezo wowote wa ligi tangu mwezi April mwaka huu kwenye mechi iliyomalizika kwa sare ya 0-0 dhidi ya JKT Tanzania. Wamecheza mechi 11 tangu kipindi hicho na kushinda zote .

Mara ya mwisho kwa Young Africans kushinda mechi 12 mfululizo katika ligi ilikuwa kati ya December 2022 hadi April 2023 na walipoteza mchezo wao wa 13 kwa kufungwa 2-0 na Simba SC .

Young Africans wamefunga mabao 17 katika kipindi cha pili kwenye mashindano yote msimu huu, sawa na asilimia 56% ya mabao yote 30 .

Young Africans wanaweza kushinda kila moja ya mechi zao tano za ufunguzi wa msimu wa ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya tatu katika misimu 10 ya hivi karibuni, baada ya kufanya hivyo pia 2015|16 na 2021|22 .

Stephane Aziz Ki anaweza kuwa mchezaji wa kwanza wa Young Africans kufunga katika mechi tatu mfululizo za Kariakoo derby kwenye ligi tangu Amissi Tambwe kati ya September 2015 hadi October 2016 .

[QUOTE="Kijiweni, post: 11371, member: 476"] ππΈπΌπ±π° ππ² π ππΎππ½πΆ π°π΅ππΈπ²π°π½π Simba Sports Club hawajashindwa kufunga bao katika michezo yao 58 iliyopita katika ligi, mara ya mwisho walishindwa kufanya hivyo kwenye mchezo waliopoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC mnamo 27 October 2022 . Simba Sports Club wameshinda mechi moja pekee kati ya 10 za mwisho za ligi dhidi ya Young Africans, wamefungwa nne na kutoka sare tano. Mechi pekee waliyoshinda ni ile ya 2-0 mnamo April 2023 katika mzunguko wa 23 wa NBC Premier League . Simba Sports Club walipiga pasi 600 katika mchezo wao uliopita wa ligi dhidi ya Coastal Union, idadi kubwa zaidi ya timu yoyote kwenye mechi moja ya NBC Premier League msimu huu . Ahoua Charles ndiye mchezaji wa kwanza kutoa assists nne katika mechi tano za ufunguzi wa kampeni ya NBC Premier League tangu LuΓs Miquissone msimu wa 2020|21 . _β _β _β _β _β _β _β _β __β _β _β _β _β _β _β _β __β _β _β _β _β _β _β _β __β _β _β _β _β _β _β _β ___β _β _β _β _β _β _β _ Young Africans hawajashindwa kupata ushindi katika mchezo wowote wa ligi tangu mwezi April mwaka huu kwenye mechi iliyomalizika kwa sare ya 0-0 dhidi ya JKT Tanzania. Wamecheza mechi 11 tangu kipindi hicho na kushinda zote . Mara ya mwisho kwa Young Africans kushinda mechi 12 mfululizo katika ligi ilikuwa kati ya December 2022 hadi April 2023 na walipoteza mchezo wao wa 13 kwa kufungwa 2-0 na Simba SC . Young Africans wamefunga mabao 17 katika kipindi cha pili kwenye mashindano yote msimu huu, sawa na asilimia 56% ya mabao yote 30 . Young Africans wanaweza kushinda kila moja ya mechi zao tano za ufunguzi wa msimu wa ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya tatu katika misimu 10 ya hivi karibuni, baada ya kufanya hivyo pia 2015|16 na 2021|22 . Stephane Aziz Ki anaweza kuwa mchezaji wa kwanza wa Young Africans kufunga katika mechi tatu mfululizo za Kariakoo derby kwenye ligi tangu Amissi Tambwe kati ya September 2015 hadi October 2016 . [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Simba vs Yanga Leo | Takwimu Za Timu Gani Zinatisha Zaidi Kuelekea Muda Wa Mechi?
Top
Bottom