Simba wanaingia robo finali ya FA kwa kumchapa African Sport bao4

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Kwanini Baadhi ya hao wachezaji waliopewa nafas leo wasipewe nafasi kwenye league, naona wako fit zaidi

Mohamed Musa asimame badala ya Kyombo! Yuko fit sn kuliko hata tunaowajua

Mohammed Mussa anajua lango huyo ni mchezaji mzuri sana mchungeni asipigwe misumari na hao mababu pia ni mrithi sahihi wa Captain John Bocco

1677773050253.png