Simba wapegiwa au wamelamba Dume..?

kidudumtujr

Mgeni
Dec 14, 2022
50
70
5
Tanzania
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga Said Ntibazonkiza amejiunga na klabu ya Simba kupitia dirisha dogo la usajili.

Simba imemtambulisha mchezaji huyo kupitia katika mitandao yake ya kijamii

Habari za ndani zinasema amesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumikia klabu huyo.

Ntibazonkiza, raia wa Burundi ni mchezaji mkongwe mwenye uzoefu katika michuano ya kimataifa.

Winga huyo alikuwa anakipiga na Geita Gold kabla ya kutuma Msimbazi.C3EE2FC1-E92D-4EE0-896F-58D2A15985A6.jpeg
 
Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
W
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga Said Ntibazonkiza amejiunga na klabu ya Simba kupitia dirisha dogo la usajili.

Simba imemtambulisha mchezaji huyo kupitia katika mitandao yake ya kijamii

Habari za ndani zinasema amesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumikia klabu huyo.

Ntibazonkiza, raia wa Burundi ni mchezaji mkongwe mwenye uzoefu katika michuano ya kimataifa.

Winga huyo alikuwa anakipiga na Geita Gold kabla ya kutuma Msimbazi.View attachment 925
atachanazwa wakiwa naye 😂😂