Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga Said Ntibazonkiza amejiunga na klabu ya Simba kupitia dirisha dogo la usajili.
Simba imemtambulisha mchezaji huyo kupitia katika mitandao yake ya kijamii
Habari za ndani zinasema amesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumikia klabu huyo.
Ntibazonkiza, raia wa Burundi ni mchezaji mkongwe mwenye uzoefu katika michuano ya kimataifa.
Winga huyo alikuwa anakipiga na Geita Gold kabla ya kutuma Msimbazi.