Simba, Yanga nani katoa Jezi Nzuri?

Feb 7, 2023
61
36
5
Simba na Yanga tayari wamezindua jezi zao rasmi watakazotumia kwenye michuano ya Afrika. Yanga ambao watashiriki michuano ya kombe la Shirikisho walianza kuzindua jezi zao kabla ya watani wao Simba jioni ya leo nao kuzindua kwa ajili ya klabu bingwa Afrika.
Nani kamzidi mwenzake kati ya Vunja bei wa simba na Sheria Ngowi wa Yanga?
 

Attachments

  • 20230207_215958.jpg
    20230207_215958.jpg
    87 KB · Somwa: 0
  • 20230207_230204.jpg
    20230207_230204.jpg
    226.9 KB · Somwa: 0
  • Like
Reactions: Bangala