SOFYAN AMRABAT, EGEMEO LA MOROCCO.

Capitano

Mgeni
Nov 8, 2022
10
29
5
Huyu Sofyan Amrabat, anafanya timu ya Morocco icheze kwa uwiano mkubwa, kati ya safu ya ulinzi na safu ya ushambuliaji.

Nampa jina la utani General, maana kama ni jeshini yeye ndiye mwenye amri ya mwisho kabisa. images (34).jpeg