Soka la Uhispania limekumbwa na kashfa ya ufisadi

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Soka la Uhispania limekumbwa na kashfa ya ufisadi iliyohusisha Barcelona baada ya mwendesha mashtaka wa nchi hiyo kuishutumu klabu hiyo kwa kudumisha uhusiano na Jose Maria Enriquez Negreira.

Anadaiwa kufanya vitendo 'kwa kubadilishana pesa' ambavyo 'vingesababisha Barcelona kupendelewa katika maamuzi ya waamuzi'.

Upande wa mashtaka unasema €7.3million (£6.46m) zililipwa na klabu kwa DASNIL na NILSAT, kampuni mbili zinazomilikiwa na Negreira.

Mwezi uliopita, mkuu wa LaLiga, Javier Tebas alimtaka rais wa Barcelona Joan Laporta kujiuzulu ikiwa hawezi kueleza sababu ya malipo hayo.

Kusoma zaidi 👉 https://kijiweni.co.tz/
2b58aef3-e77b-47a4-a43f-2129715bd14b.jpg