Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Soka la Uhispania limekumbwa na kashfa ya ufisadi
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Soka la Uhispania limekumbwa na kashfa ya ufisadi iliyohusisha Barcelona baada ya mwendesha mashtaka wa nchi hiyo kuishutumu klabu hiyo kwa kudumisha uhusiano na Jose Maria Enriquez Negreira.

Anadaiwa kufanya vitendo 'kwa kubadilishana pesa' ambavyo 'vingesababisha Barcelona kupendelewa katika maamuzi ya waamuzi'.

Upande wa mashtaka unasema €7.3million (£6.46m) zililipwa na klabu kwa DASNIL na NILSAT, kampuni mbili zinazomilikiwa na Negreira.

Mwezi uliopita, mkuu wa LaLiga, Javier Tebas alimtaka rais wa Barcelona Joan Laporta kujiuzulu ikiwa hawezi kueleza sababu ya malipo hayo.

Kusoma zaidi  https://kijiweni.co.tz/

[ATTACH=full]1400[/ATTACH]

[QUOTE="sharon, post: 3641, member: 470"] Soka la Uhispania limekumbwa na kashfa ya ufisadi iliyohusisha Barcelona baada ya mwendesha mashtaka wa nchi hiyo kuishutumu klabu hiyo kwa kudumisha uhusiano na Jose Maria Enriquez Negreira. Anadaiwa kufanya vitendo 'kwa kubadilishana pesa' ambavyo 'vingesababisha Barcelona kupendelewa katika maamuzi ya waamuzi'. Upande wa mashtaka unasema €7.3million (£6.46m) zililipwa na klabu kwa DASNIL na NILSAT, kampuni mbili zinazomilikiwa na Negreira. Mwezi uliopita, mkuu wa LaLiga, Javier Tebas alimtaka rais wa Barcelona Joan Laporta kujiuzulu ikiwa hawezi kueleza sababu ya malipo hayo. Kusoma zaidi 👉 [URL]https://kijiweni.co.tz/[/URL] [ATTACH type="full"]1400[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Soka la Uhispania limekumbwa na kashfa ya ufisadi
Top
Bottom