Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taarifa Mpya Kuhusu JOHN BOCCO Kukipiga Ligi Kuu Msimu Ujao Tena
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="SamMachachali" data-source="post: 6027" data-attributes="member: 2307"><p>Taarifa za ndani zinasema kwamba Bocco anayeshikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu Bara akifunga mabao 154 katika misimu 16 akiipiku rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Mohammed Hussein ‘Mmachinga’ aliyekuwa amefunga mabao 153 ndani ya misimu 13 amesajiliwa na JKT Tanzania kama kocha mchezaji.</p><p>Kabla ya kutua kwa maafannde hao wa JKT Tanzania John Bocco alikuwa ni kocha wa timu ya vijana ya Simba, hivyo suala la yeye kujiunga na Maafande hao inamaanisha hatokuwa tena sehemu ya benchi la ufundi la Simba.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="SamMachachali, post: 6027, member: 2307"] Taarifa za ndani zinasema kwamba Bocco anayeshikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu Bara akifunga mabao 154 katika misimu 16 akiipiku rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Mohammed Hussein ‘Mmachinga’ aliyekuwa amefunga mabao 153 ndani ya misimu 13 amesajiliwa na JKT Tanzania kama kocha mchezaji. Kabla ya kutua kwa maafannde hao wa JKT Tanzania John Bocco alikuwa ni kocha wa timu ya vijana ya Simba, hivyo suala la yeye kujiunga na Maafande hao inamaanisha hatokuwa tena sehemu ya benchi la ufundi la Simba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taarifa Mpya Kuhusu JOHN BOCCO Kukipiga Ligi Kuu Msimu Ujao Tena
Top
Bottom