Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TAIFA STARS
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Tanzania yaporomoka viwango vya FIFA.

Tanzania imeporomoka kwa nafasi moja katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA) kwa mwezi Januari.

Kwa mujibu wa viwango vya ubora wa soka vya Januari vilivyowekwa hadharani jana, Tanzania imeanguka kutoka nafasi ya 131 iliyokuwepo mwishoni mwa mwaka jana hadi nafasi ya 132 ikipishana na Comoro ambayo awali ilikuwa katika nafasi hiyo.

Kufanya vizuri kwa Comoro katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zilizofanyika huko Cameroon mwaka huu, kuimeirudisha nchi hiyo katika nafasi ya 131 na kuichomoa Tanzania ambayo haikushiriki.

Gambia ambao walionyesha kiwango bora na kuishia katika hatua ya robo fainali kwenye fainali za Afcon mwaka huu, juhudi zao zimewalipa kwani imejikuta ikipanda kwa nafasi nyingi na kuwatoa shimoni walipokuwepo awali.

Kutoka nafasi ya 150 waliyokuwepo awali, Gambia wamepanda hadi nafasi ya 125 ikimaanisha wamepaa kwa nafasi 25 zaidi.

Usemi wa chanda chema huvikwa pete, unaweza kutumika pia kwa mabingwa wapya wa Afcon, Senegal ambao wamepaa kwa nafasi mbili kutoka ile ya 20 hadi nafasi ya 18 kidunia huku wakiongoza kwa upande wa Afrika.

Hakuna mabadiliko katika nafasi tatu juu kidunia ambapo Ubelgiji wameendelea kutamba, wakifuatiwa na Brazil katika nafasi ya pili huku wanaoshika nafasi ya tatu wakiwa ni Ufaransa.

[QUOTE="Amir, post: 860, member: 20"] [HEADING=1]Tanzania yaporomoka viwango vya FIFA.[/HEADING] [IMG alt="Tanzania PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3712854/landscape_ratio16x9/1160/652/9c8665d7e0c8e602b3e8f9c4e936dd29/eC/tanzania-pic.jpg[/IMG] Tanzania imeporomoka kwa nafasi moja katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA) kwa mwezi Januari. Kwa mujibu wa viwango vya ubora wa soka vya Januari vilivyowekwa hadharani jana, Tanzania imeanguka kutoka nafasi ya 131 iliyokuwepo mwishoni mwa mwaka jana hadi nafasi ya 132 ikipishana na Comoro ambayo awali ilikuwa katika nafasi hiyo. Kufanya vizuri kwa Comoro katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zilizofanyika huko Cameroon mwaka huu, kuimeirudisha nchi hiyo katika nafasi ya 131 na kuichomoa Tanzania ambayo haikushiriki. Gambia ambao walionyesha kiwango bora na kuishia katika hatua ya robo fainali kwenye fainali za Afcon mwaka huu, juhudi zao zimewalipa kwani imejikuta ikipanda kwa nafasi nyingi na kuwatoa shimoni walipokuwepo awali. Kutoka nafasi ya 150 waliyokuwepo awali, Gambia wamepanda hadi nafasi ya 125 ikimaanisha wamepaa kwa nafasi 25 zaidi. Usemi wa chanda chema huvikwa pete, unaweza kutumika pia kwa mabingwa wapya wa Afcon, Senegal ambao wamepaa kwa nafasi mbili kutoka ile ya 20 hadi nafasi ya 18 kidunia huku wakiongoza kwa upande wa Afrika. Hakuna mabadiliko katika nafasi tatu juu kidunia ambapo Ubelgiji wameendelea kutamba, wakifuatiwa na Brazil katika nafasi ya pili huku wanaoshika nafasi ya tatu wakiwa ni Ufaransa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TAIFA STARS
Top
Bottom