Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TAIFA STARS
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

BEKI WA TAIFA STARS AFCON 2019 AFARIKI DUNIA.

BEKI wa zamani wa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania, Ally Abdulkarim Ibrahim Mtoni ‘Sonso’ (28) amefariki dunia leo wakati akikimbizwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.

Sonso aliyezaliwa Machi 13, mwaka 1993 Jijini Dar es Salaam, alikuwa nje ya Uwanja kwa muda baada ya kuumia mguu kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba Novemba 19 mwaka jana Ruvu Shooting ikichapwa 3-1 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Chanzo haswa cha kifo cha marehemu au maradhi yaliyokuwa yakimsumbua zaidi ya maumivu ya mguu hakijaelezwa ila mazishi yake yatafanyika nyumbani kwao, Kondoa Magomeni Jumamosi.

Mtoni alisajiliwa Yanga akitokea Lipuli ya Iringa msimu wa 2019-2020 kabla ya kuachwa baada ya kuachwa msimu uliofuata akaenda Kagera Sugar ambako aliichezea hadi msimu huu alipojiunga na Ruvu Shooting.

Ally Sonso alikuwemo kwenye kikosi cha Taifa Stars kilichoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Misri mwaka 2019.

Mungu ampumzishe kwa amani marehemu Ally Mtoni Sonso. Amin.

[QUOTE="Amir, post: 875, member: 20"] [HEADING=2]BEKI WA TAIFA STARS AFCON 2019 AFARIKI DUNIA.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjnDFSP8pjkt2A01EHDTX-vNKEsxuhpFR_zrcH7LgLIY9ln2gbnHcvb6Je57c62sqsYCmG-N_XeuoB7itpPqtjtEdnRZ0QV4EUkpAkGsYz4NFR0_vCnxehXGAdy36JtP2dptjPKpD8uKFp-Yy5EEuBZcgYud5GZyhbEFyNdmPhwDLxtXcTB2_1tMFPQ=w640-h632[/IMG] BEKI wa zamani wa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania, Ally Abdulkarim Ibrahim Mtoni ‘Sonso’ (28) amefariki dunia leo wakati akikimbizwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam. Sonso aliyezaliwa Machi 13, mwaka 1993 Jijini Dar es Salaam, alikuwa nje ya Uwanja kwa muda baada ya kuumia mguu kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba Novemba 19 mwaka jana Ruvu Shooting ikichapwa 3-1 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Chanzo haswa cha kifo cha marehemu au maradhi yaliyokuwa yakimsumbua zaidi ya maumivu ya mguu hakijaelezwa ila mazishi yake yatafanyika nyumbani kwao, Kondoa Magomeni Jumamosi. Mtoni alisajiliwa Yanga akitokea Lipuli ya Iringa msimu wa 2019-2020 kabla ya kuachwa baada ya kuachwa msimu uliofuata akaenda Kagera Sugar ambako aliichezea hadi msimu huu alipojiunga na Ruvu Shooting. Ally Sonso alikuwemo kwenye kikosi cha Taifa Stars kilichoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Misri mwaka 2019. Mungu ampumzishe kwa amani marehemu Ally Mtoni Sonso. Amin. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TAIFA STARS
Top
Bottom